Zee La Kritiksi 🎻🎧 (@_kilongi) 's Twitter Profile
Zee La Kritiksi 🎻🎧

@_kilongi

Towards Different Standards || Music Addicted || Poems Writer || Keep Praying And Trust God || God Did His Best To Me || Up For The Money.

ID: 1770869348153860097

calendar_today21-03-2024 17:46:07

11,11K Tweet

538 Takipçi

591 Takip Edilen

𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥 (@njamasi__) 's Twitter Profile Photo

Usiongeze kumtumia sms nyingine hiyo uliyo tuma moja inatosha na ameiona, sema hajakujibu kwa sababu yupo bize anachati na mpenzi wake 💔😂

Dullah_theKing🎶 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kipindi hii ngoma inatoka Verse ya pili pale Mwanzoni, kwa akili zangu Timamu....nilikuwa nikiimba 👇🏽 "Weka Tigo na Voda" 😂 Beat la hii ngoma 🔥

Kipindi hii ngoma inatoka Verse ya pili pale Mwanzoni, kwa akili zangu Timamu....nilikuwa nikiimba 👇🏽

"Weka Tigo na Voda" 😂

Beat la hii ngoma 🔥
Dullah_theKing🎶 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Lile kundi la "Mo Music na Basi Nenda" ama "Benson na Hauzimi" ama tuseme "TopC na Ulofa" huyu mwanetu nae anaikingia 😂 Moja kati ya ngoma ambayo Korasi yake ilikuwa ikiimbwa na kila mtu ila kila mmoja kwa Lugha anayoijua yeye PANDA PANDA PANDA PANDA ........Rrrrraraaaaaaa🔥

Lile kundi la "Mo Music na Basi Nenda" ama "Benson na Hauzimi" ama tuseme "TopC na Ulofa" huyu mwanetu nae anaikingia 😂

Moja kati ya ngoma ambayo Korasi yake ilikuwa ikiimbwa na kila mtu ila kila mmoja kwa Lugha anayoijua yeye 

PANDA PANDA PANDA PANDA ........Rrrrraraaaaaaa🔥