._iam⚓chandrv (@_iam_chandra) 's Twitter Profile
._iam⚓chandrv

@_iam_chandra

🇹🇿 𝐒𝐞𝐚M𝐚𝐧 🇰🇪🛥️ Mgunya & ndengereko Offshore hunter ☸ travel 🇲🇿🇹🇿🇰🇪🇦🇪 | 𝐅𝐥𝐲𝐛𝐨𝐲 𝐈𝐧𝐜 | Sunnah Guy

ID: 1536067958195519488

calendar_today12-06-2022 19:29:21

8,8K Tweet

572 Takipçi

1,1K Takip Edilen

msngi. (@abusumayyah_o) 's Twitter Profile Photo

#ASKOFU UNA PHD_YA THROLOGY NA SOCIAL ETHICS LAKINI HUJUI KIPI KINAANZA KUDAIWA KATI YA #AMANI NA #HAKI 📚💦 >>Kwani tangia lini haki ikadaiwa kipindi hamna #amani?🤣🙌 🫴yaani kuna machafuko ( civil war) _mabomu,risasi, _hapo hamna jeshi wala polisi wal mahakama wala

Msouth small trader Herb’s (@msouthherbs) 's Twitter Profile Photo

Moja ya sababu inayofanya baadhi ya waislamu wakiume kutokuswali ni kutokuchunga na kudondokewa na cheche za haja ndogo au kutokustanchi kabisa baada ya kukidhi haja ndogo hivyo Muislam jichunge dhidi ya chachizi za mkojo ili nguo yako iwe tohara na usikose swala KWASABABU hiyo!

ابو سمية (@abuusumayyah10) 's Twitter Profile Photo

*Ni upi wa muda wa Adhkari za jioni?* Jawabu: Sheikh Abdulazizi Bin Baaz Allah amrehemu" أذكار المساء يستحب أداؤها بعد العصر، أو بعد المغرب الأمر واسع من حين تزول الشمس، دخل وقت أذكار المساء العشي، العشي، بعد الزوال كله عشي، وإذا أتى بالأذكار في العصر أو في المغرب، أو بعد

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

أربح التجارة ذِكْر الله، وأخسر التجارة ذِكْر الناس Biashara yenye faida zaidi ni kumtaja Allah, na biashara yenye hasara zaidi ni kuwataja watu (kwa kuwasengenya).