DJ B (@thedjboyie) 's Twitter Profile
DJ B

@thedjboyie

Voice ya vijana || Tuna share ideas za biz na issues zinatu-affect. #YoutNaGava #LindaFam #ShujaazBiz #Tujijenge #MESHer

ID: 120032310

linkhttps://www.shujaazinc.com/ calendar_today05-03-2010 08:16:35

34,34K Tweet

16,16K Takipçi

5,5K Takip Edilen

DJ B (@thedjboyie) 's Twitter Profile Photo

Pale ndani ya Shujaaz Chapter 151. Cheki unanja itaweza kusaidia ku-improve biz yako... #ShujaazBiz webtoons.com/en/challenge/a…

DJ B (@thedjboyie) 's Twitter Profile Photo

Episode 2 Ya show yetu #FormNiMboga ita-premier kwa YouTube Channel ya Shujaaz leo from 8PM. Usi-miss out! Meanwhile, cheki episode one hapa kama ilikupita: youtu.be/yFqJeBxGksk

DJ B (@thedjboyie) 's Twitter Profile Photo

Jongo Love Episode 10 featuring fan wetu wa nguvu Prince Jude na Empress Vivian ina-premier pale Shujaaz YouTube leo at 3PM. Usi-miss out! youtu.be/vcAq5Yo1lAk

DJ B (@thedjboyie) 's Twitter Profile Photo

Niaje wasee. Prezo amekubali kubonga na mayut kwa spaces from 2 PM. Mayut pia watakua na the same engagement at the same time. Utaenda ya prezo ama ya mayut? #MicYetu

Niaje wasee. Prezo amekubali kubonga na mayut kwa spaces from 2 PM. Mayut pia watakua na the same engagement at the same time. Utaenda ya prezo ama ya mayut? #MicYetu