Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profileg
Joblube

@Joblube4

ID:1616111636988792832

calendar_today19-01-2023 16:33:58

2,8K تغريدات

512 متابعون

2,0K التالية

Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profile Photo

Tuliambiwa na mbeba maono fedha zilizokuja CHEDEMA ni za mama akishirikana na mwanae Abdul usibadilishe ukweli na wamelipuliwa. Za ccm zinakuja kwenu na wana fadhili mikutano 😂😂😂

account_circle
Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profile Photo

Utaficha wajinga wenzako mnapindisha hoja mnaleta masuala ya udini kama kawaida yenu. Msichokijiwa ni kuwa uwongo na dhuluma hutamalaki kwa muda tu ukweli unatabia ya kujidhihirisha mwishoni jipe muda

account_circle
Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profile Photo

Kaka umeandika kwa weledi mkubwa sana, ila shida ni wapotoshaji. Kama tunadhamira ya kweli na kupendana twende kwenye Serikali moja. Kama bado tunataka linda tamaduni zetu basi twende na Serikali tatu Keisha.

account_circle
Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profile Photo

Tunao jua kusoma in the line tunakugundua wewe ni ccm au ACT, kama ungekuwa huna chama kwenye matusi ungeitaja ccm au kwa ujumla ungesema vyama 😂😂 sisemi CDM haina vijana wanaotukana ila ccm wanaongoza🤦🏾

account_circle
Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profile Photo

Kweli unachosema tulinyamaza kwa kuwa madhara yalikuwa hayajaonekana,watu wameumia zaidi pale Wazanzibar walipouza Bandari na kuhamisha wamasai bila kujali malalamiko ya Watanganyika waliowengi.

account_circle
Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profile Photo

Mmetangaza tenda ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo watu wakafurahi. Mkaenda kuuza Bandari ya Dar ambayo kila kitu kulikuwa tayari mnaakili nyie 🙆‍♂️

account_circle
Joblube(@Joblube4) 's Twitter Profile Photo

Nikuwa napenda sana kuangalia vipindi vya Bunge, tangu bunge hili la la maokoto sijawahi kutazama kipindi chochote. Wameturudisha sana nyuma hawa wabunge walemavu.

account_circle