Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profileg
Dr. Stergomena Lawrence Tax

@DrTaxs

Minister for Defence & National Service

ID:3322762636

linkhttps://www.modans.go.tz calendar_today13-06-2015 09:36:04

3,6K تغريدات

26,9K متابعون

286 التالية

Follow People
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(@gcumod) 's Twitter Profile Photo

MAKAMU WA RAIS AIKABIDHI MAKOMBE YA UBINGWA WA MEI MOSI KWA TIMU YA ULINZI KWA USHINDI WA KWANZA NETIBALL NA DARTS WANAUME NA WANAWAKE

MAKAMU WA RAIS AIKABIDHI MAKOMBE YA UBINGWA WA MEI MOSI KWA TIMU YA ULINZI KWA USHINDI WA KWANZA NETIBALL NA DARTS WANAUME NA WANAWAKE
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Aprili 30, 2024 nikiongoza ujumbe wa Tanzania katika Kikao cha 12 Baraza la Kisekta la EAC la Ulinzi, Usalama na Mahusiano ya Kimataifa. Kikao kiliidhinisha Mpango Mkakati wa Usalama wa Mipaka, na Mfumo wa Kituo cha Kupambana na Ugaidi ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ ⁦MFA Tanzania

Aprili 30, 2024 nikiongoza ujumbe wa Tanzania katika Kikao cha 12 Baraza la Kisekta la EAC la Ulinzi, Usalama na Mahusiano ya Kimataifa. Kikao kiliidhinisha Mpango Mkakati wa Usalama wa Mipaka, na Mfumo wa Kituo cha Kupambana na Ugaidi ⁦@gcumod⁩ ⁦@mfa_tanzania⁩
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Oyooo! Hongera timu za Wizara ya Ulinzi kushinda ktk michezo ya Mei Mosi Taifa: kutwaa ubingwa netball; mshindi wa 1 wanaume na wa 2 wanawake ktk Darts; mshindi wa1 wanamke mita 800; mshindi wa 2 mita 800 wanaume; mshindi wa 1 wanaume kupokezana Vijiti na wanawake mshindi wa 2 🙌

Hongereni sana Timu ya mpira wa Pete ya Wizara ya Ulinzi kwa kutinga fainali kwa ushindi mnono wa magoli 58 -22 dhidi ya Timu ya Wizara ya Afya ktk michezo ya Mei Mosi Taifa inayoendelea Jijini Arusha! Kaza buti, kombe hiloooo ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Hongereni sana Timu ya mpira wa Pete ya Wizara ya Ulinzi kwa kutinga fainali kwa ushindi mnono wa magoli 58 -22 dhidi ya Timu ya Wizara ya Afya ktk michezo ya Mei Mosi Taifa inayoendelea Jijini Arusha! Kaza buti, kombe hiloooo ⁦@gcumod⁩
account_circle
The Diplomat 🇹🇿(@_TheDiplomat) 's Twitter Profile Photo

📌 MUUNGANO UMETUWEZESHA KULINDA UHURUU

“Muungano umetuwezesha kulinda Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kwa umoja wetu, na kupitia jeshi letu, tumeweza kulinda mipaka ya taifa letu.”
Samia Suluhu

📌 MUUNGANO UMETUWEZESHA KULINDA UHURUU “Muungano umetuwezesha kulinda Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, lakini pia kwa umoja wetu, na kupitia jeshi letu, tumeweza kulinda mipaka ya taifa letu.” @SuluhuSamia
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya siku ya Muungano.
'Muungano wetu ni maalum na wa kipekee uliojengwa katika misingi ya utu, udugu na umeweza kushinda majaribio mengi ya kuuvunja na umefanikiwa kudumu hadi sasa.' - Rais ⁦⁦Samia Suluhu⁩ 25/4/2024 ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ youtube.com/live/BdIP28WUV…

account_circle
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(@gcumod) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Stergomena Lawrence Tax, April 22, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Oparesheni za Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa, Bwana, Jean Pierre Lacroix, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar-es-salaaam.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Stergomena Lawrence Tax, April 22, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Oparesheni za Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa, Bwana, Jean Pierre Lacroix, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar-es-salaaam.
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Grateful to engage with the UN Under Secretary General for Peace Operations, HE Jean Pierre Lacroix. Renewed our commitment to cooperate in promoting and sustaining peace ⁦United Nations⁩ ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ ⁦Jean-Pierre Lacroix

Grateful to engage with the UN Under Secretary General for Peace Operations, HE Jean Pierre Lacroix. Renewed our commitment to cooperate in promoting and sustaining peace ⁦@UN⁩ ⁦@gcumod⁩ ⁦@Lacroix_UN⁩
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa viongozi na wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ulinzi & timu ya soka ya Ulinzi kwa ushindi mnono leo 17/4/2024 ktk michuano ya Mei Mosi Taifa huko Arusha. Tunajivunia na kuthamini juhudi zenu. Ni matumaini yetu mtarudi na ubingwa ⁦⁦⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Pongezi kwa viongozi na wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ulinzi & timu ya soka ya Ulinzi kwa ushindi mnono leo 17/4/2024 ktk michuano ya Mei Mosi Taifa huko Arusha. Tunajivunia na kuthamini juhudi zenu. Ni matumaini yetu mtarudi na ubingwa ⁦⁦⁦@gcumod⁩
account_circle
Dr. Stergomena Lawrence Tax(@DrTaxs) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana Mashujaa FC kwa ushindi wa kibabe dhidi ya Simba SC. Hakika mmeonyesha kuwa ninyi ni mashujaa na wengine wanahitaji kujifunza kutoka kwenu, Awii….. ⁦WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA⁩ ⁦MASHUJAA FC⁩ ⁦⁦Jeshi la Wananchi wa Tanzania

Hongereni sana Mashujaa FC kwa ushindi wa kibabe dhidi ya Simba SC. Hakika mmeonyesha kuwa ninyi ni mashujaa na wengine wanahitaji kujifunza kutoka kwenu, Awii….. ⁦@gcumod⁩ ⁦@MASHUJAA_FC⁩ ⁦⁦@jwtztaarifa⁩
account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.