Matena (@apenges) 's Twitter Profile
Matena

@apenges

Apenges/a naturalistic believer/a naive anarchist/life is too short do good to others!

ID: 3038316826

calendar_today15-02-2015 04:19:00

4,4K Tweet

332 Followers

850 Following

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA JIONI. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina. Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo. BABA YETU. Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate

SALA YA JIONI.

Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina.

Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo.

BABA YETU.
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

Utupe leo mkate
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

LITANIA YA HURUMA YA MUNGU. Bwana utuhurumie Kristu utuhurumie. Bwana utuhurumie. Kristu utusikilize. Baba wa mbinguni Mungu, utuhurumie Mwana Mkombozi wa dunia Mungu, utuhurumie Roho Mtakatifu Mungu, utuhurumie Utatu Mtakatifu Mungu mmoja, utuhurumie Huruma ya

LITANIA YA HURUMA YA MUNGU.

Bwana utuhurumie
Kristu utuhurumie.
Bwana utuhurumie.
Kristu utusikilize.

Baba wa mbinguni Mungu, utuhurumie

Mwana Mkombozi wa dunia Mungu, utuhurumie

Roho Mtakatifu Mungu, utuhurumie        

Utatu Mtakatifu Mungu mmoja, utuhurumie

Huruma ya
Panther® (@medeirospanther) 's Twitter Profile Photo

The Dangers of Dating High-Body Count Women As a man, you need to be aware of these dangers before getting involved with someone who’s experienced a revolving door of partners.🐺

The Dangers of Dating High-Body Count Women

As a man, you need to be aware of these dangers before getting involved with someone who’s experienced a revolving door of partners.🐺
𝗣𝗮𝗸𝗮 ᵕ̈ 𓃠 (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

Kesho tusali novena ya saa 15 kuanzia saa kumi na mbili na dakika 10 na tutamaliza saa mbili dakika 10 kama utakuwa nasi weka comment nikupe utaratibu Umechoka umekata tamaa unasali sana huoni afadhali nikuambie tu usiache kusali 😀❤️.

Kesho tusali novena ya saa 15 kuanzia saa kumi na mbili na dakika 10 na tutamaliza saa mbili dakika 10 kama utakuwa nasi weka comment nikupe utaratibu 

Umechoka umekata tamaa unasali sana huoni afadhali nikuambie tu usiache kusali 😀❤️.
L E G E N D ℠ (@tweetbylegendy) 's Twitter Profile Photo

Kuna namna unaweza hisi mtu anakitu anakuficha na anatumia mbinu ya kuchat kwa message za kawaida Ili wewe usione Leo naenda kukuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kufanya Ili uzisome bila yeye kugundua Thread 🧵 Repost 🔄 Bookmark 🔖 Shuka nayo 👇🏾

Kuna namna unaweza hisi  mtu anakitu anakuficha na anatumia mbinu ya kuchat kwa message za kawaida Ili wewe usione 

Leo naenda kukuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kufanya Ili uzisome bila yeye kugundua

Thread 🧵 

Repost 🔄
Bookmark 🔖  

Shuka nayo 👇🏾
Spiritual Realm - Readings Open!🔮 (@spiritualrealm0) 's Twitter Profile Photo

Your love vibe this week 💓🦋 ♈️ Reconciliation ♉️ Love commitments ♊️ Cosmic lovers ♋️ Cloud of romance ♌️ New romance ♍️ Sparks rekindle ♎️ New couples ♏️ Candlelight dinner ♐️ Grand romance ♑️ New love story ♒️ Passionate flings ♓️ Heart matters RT 🔁 Like, Type 2222 to

Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

Mfano ulikua hujui. M23 ni Watutsi ambao ni Wacongo, Lakini serikali ya Congo inawakataa Watutsi hao na Kuwanyima haki zao zote, Hivyo wanapambania haki zao na watu wao, Serikali ya Rwanda inaonyesha kila dalili ya Kuwasapoti. 👇 #PrayForGOMA

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kabila linaitwa Watutsi wala Wahutu. Kabila lazima liwe na lugha yake. Hakuna lugha ya watusi. Watusi na Wahutu ni madaraja ya kijamii ( social classes). Madaraja haya utayakuta eneo lote la interlacustrine - Banyarwanda, Barundi, Baha, Banyankole, Bamushi, Basubi,

Africa Firsts (@africafirsts) 's Twitter Profile Photo

Thread on fascinating African maps you've probably never seen before. 🧵 1. Just These 5 Countries Generates Half of Africa’s Total GDP

Thread on fascinating African maps you've probably never seen before. 🧵

1. Just These 5 Countries Generates Half of Africa’s Total GDP