@antorystev61528
ID: 1641459247744466948
calendar_today30-03-2023 15:16:46
2,2K Tweet
910 Followers
1,1K Following
2 years ago
Hawa Panyarodi Wana Aleji na Makombe, Itabidi wao na Makombe wakae Chini Wamalize Tofauti zao π
Sio mtalaam sana wa biblia ila akina Joseph waga ni watu kweli kweli wanaume wenye vifua karibu sana jangwani kuna musonda na mzize ukiwa bora zaidi yao yanga itabeba Mpaka bahari
Walimu ni kamali nyinyi wengine nikubeti
Wengine wanadaka mapinduzi wanatambaa ila mwaka cleansheet ya afcon na work rate ya 8.2 na halingi
Hakuna uongo kama huu toka mwaka mpya uanze
Nothing impossible
Kama kweli we ni mtanzania twambie majina ya hawa nyota wetu
π π π π MAKOLO Bhna
Samata hatakiwi kufanyia sub hatuna kikosi cha kumuacha samata nje
Unaingia na mbinu ya kupaki basi unamuacha kibu nje hakuna kocha pale
Kudusi na aziz ki baba yao ni mmoja
Kweli pacome niwakukosa namba pale ivory cost
Huyu ni nani jamani mbona anavaa jezi ya simba??
Mchezaji bora mzaw wa muda wote
Assist yenyewe sasa kumbe ni kona nimecheka sana
Huyu Jamaa na wema ndo kapo bora kwa sasa aisee wema hazeeki kabisa
Hii nayo ni komedi
Weka matokeo ya shule ulio somea tuone unyama wawa dogo zako
Kama kuna siku nilisema twaha anaweza kumpiga mwakinyo naomba mnisamehe sio mimi ni pombe tuu zilinipelekesha
Hii picha ni kali sana aisee