Chizima
@anthonykasota
Blue Eyed Man, Ombudsman, Political Analyst, Youth Skills Development Advisor & Public Health Practitioner.
ID: 1087722408100925441
22-01-2019 14:43:25
4,4K Tweet
825 Takipçi
970 Takip Edilen
“There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.” - UK's Human Rights Ambassador, Eleanor Sanders gov.uk/government/spe…
#SAUT Mwanza Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Mhashamu Askofu Flavian Matindi Kassala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita anasikitika kutangaza kifo cha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu SAUT, Balozi Professor Costa Ricky Mahalu kilichotokea leo tarehe 09 Machi, 2026
@samia_suluhu_hassan @mwigulunchemba Emmanuel Nchimbi @albert_john_chalamila....gharama ya matibu imefika usd 40,000. Hospitali kubwa kama Muhimbili inakuwaje tunatumia vifaa Used.
Kazi ya Ezekiel ‘Oura’ Kamwaga ni ngumu sana, itoshe tu kusema hivyo. Kamwaga ni ile aina ya watu ambao kesho keshokutwa hakika watatuambia “hata sisi tulikuwa tunamwogopa ndio maana tulisema vile.” Sijui bro huwa akijiangalia kwenye kioo anaona nini aisee🙌🏿!