Anko (@ankoomn) 's Twitter Profile
Anko

@ankoomn

Independent Journalist

ID: 1885022927541932032

calendar_today30-01-2025 17:51:17

451 Tweet

188 Takipçi

490 Takip Edilen

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Septemba 9, 2025 Part 1 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 2. Anaendelea Mhe. Lissu Waheshimiwa majaji ahirisho la kwanza ni Tar. 10/04/2025. Page. 2 ya rekodi ya mahakama hii para ya mwisho Mahakama ilisema since this Court has no jurisdiction to hear this matter na hiyo ndio ilikuwa sababu ya

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 3 Anaendele Mhe. Lissu Kesi iliahirishwa 15/07 na siku hiyo kulikuwa na ugomvi kuhusu kuahirisha kuanzia page 53 to 60. Hii siku pia aliandika a reasoned ruling kwneye page 68 to 73 na hiyo ikawa mara ya tatu kwa Hakimu kutoa sababu za msingi

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 4 Anaendelea Mhe. Lissu Sasa hayo ni rahisi Nataka nianze na Magumu. Ukurasa wa 86 to 89 kuna amri ya hakimu wa mahakama ya kisutu ulibadilisha kabisa maudhui na maana ya uamuzi wa mahakama kuu kuhusu kuficha mashahidi. Mahakama kuu ilitoa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 5 Mhe. Lissu anamuuliza Katuganga nani anaevunja amri ya mahakama kati ya Wakili Mkuu wa Serikali na team yake yote ambao wamewaweka wazi wote. Kile walichoambiwa na Mahakama Kuu wasikifanye ndo wamekifanya, mwenye kosa ni nani hapo mimi au wao?

Anko (@ankoomn) 's Twitter Profile Photo

Polisi nchini Nepal walikuwa against wananchi, ila wakanyoosha mikono juu. Viongozi wamekimbia wao ndio wakawa chambo. #Tutaamka!

Anko (@ankoomn) 's Twitter Profile Photo

Watanzania watachoka, na siku ikifika viongozi watalia na kusaga meno kwa haya wanayowafanyia raia wao. Magari yao ya kifahari hayatakuwa ngao, makasri yao hayatakuwa kimbilio, na mali wanazojilimbikizia kwa dhuluma zitabaki majivu. Wananchi wanateseka kwa njaa, wakina mama

Watanzania watachoka, na siku ikifika viongozi watalia na kusaga meno kwa haya wanayowafanyia raia wao. Magari yao ya kifahari hayatakuwa ngao, makasri yao hayatakuwa kimbilio, na mali wanazojilimbikizia kwa dhuluma zitabaki majivu. 

Wananchi wanateseka kwa njaa, wakina mama