mimilicious🌹🍒 (@amina_hafidh) 's Twitter Profile
mimilicious🌹🍒

@amina_hafidh

I don't give a damn💛💚💛💚yanga damudamu✌ madam influencer , medical personnel 💊💉🩺🩻
Man U fan ❤💛❤💛
Muslim girl🧕mtoto wa ulamaar😌🕋

ID: 1241332573495795713

calendar_today21-03-2020 11:55:41

206,206K Tweet

131,131K Followers

3,3K Following

mimilicious🌹🍒 (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Nimekaa kimya nisiseme kitu ila nimeshindwa Wasichana tumeamua kwenda olele kucheza na kufurahi Why mnataka iwe ni kama tumeenda kufanya uhaini? Inawafaidisha nini nyie kusema uongo na kutwist ionekane kama kuna madhambi makubwa yalifanyika mule Jiheshimuni uzandiki sio mzuri

mimilicious🌹🍒 (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Ni sawa kunichukia ila kuhisi kuwa mimi naweza kuwa snitch,kutoa siri au kutoa maneno huku na kupeleka huku pole sana Mimi sio msungo nimefundwa najua kustiri mambo Nina kifua cha mbele na nyuma Nawaombea mumjue huyo mtu mmalizane nae mbaki na aibu yenu ya kunisingizia ujinga

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Hivi kinachofanya baadhi ya Jamii kushindwa kabisa kuachana na Ukeketaji wa watoto wa kike ni nini? Maana hakuna culture ambayo ipo outdated kama hii na ina madhara ya wazi kama hii, ila bado wamo tu? Kwanini? cc. CDF Tanzania #UsinikeketeNilinde

Hivi kinachofanya baadhi ya Jamii kushindwa kabisa kuachana na Ukeketaji wa watoto wa kike ni nini?
Maana hakuna culture ambayo ipo outdated kama hii na ina madhara ya wazi kama hii, ila bado wamo tu? Kwanini?
cc. <a href="/cdftz/">CDF Tanzania</a> 
#UsinikeketeNilinde
🍀 (@midreeed) 's Twitter Profile Photo

Naomba RT Pazia mita 1.5 @ 35,000 nzito 1 Set yake @ 85,000 nzito 2 nyepesi 1 Mita 2 @ 40,000 nzito 1 Set yake @ 97,000 nzito 2 nyepesi 1 Hazipitishi mwangaaa na nyepesi kufua🤌🏾 Call/WhatsApp 0622494383

Naomba RT

Pazia mita 1.5 @ 35,000 nzito 1

Set yake @ 85,000 nzito 2 nyepesi 1

Mita 2 @ 40,000 nzito 1

Set yake @ 97,000 nzito 2 nyepesi 1

Hazipitishi mwangaaa na nyepesi kufua🤌🏾

Call/WhatsApp 0622494383
mimilicious🌹🍒 (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MRADI WA MAJI LAMADI WILAYA YA BUSEGA. Mradi huu wa maji utaenda kukomboa wakazi wengi wa wilaya ya Busega ikiwa ni dhamira yake ya kumtua mama ndoo kichwani Hii ikiwa ni miongoni mwa ziara zake mkoani Simiyu #KumenogaSioMchezo

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MRADI WA MAJI LAMADI WILAYA YA BUSEGA.

Mradi huu wa maji utaenda kukomboa wakazi wengi wa wilaya ya Busega ikiwa ni dhamira yake ya kumtua mama ndoo kichwani

Hii ikiwa ni miongoni mwa ziara zake mkoani Simiyu 

#KumenogaSioMchezo
mimilicious🌹🍒 (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Muda si mrefu Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaenda kuzindua daraja la kigongo Busisi Tukae mkao wa kula #KumenogaSioMchezo #KigongoBusisiBridge

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ukeketaji si tu suala la afya bali ni suala la haki za binadamu, heshima na usawa wa kijinsia. Kuondoa tatizo hili kunahitaji kubadilisha mila potofu, kuhamasisha elimu, na kuunga mkono wanawake walioathirika. #UsinikeketeNilinde #EndFGM CDF Tanzania

Ukeketaji si tu suala la afya bali ni suala la haki za binadamu, heshima na usawa wa kijinsia. 
Kuondoa tatizo hili kunahitaji kubadilisha mila potofu, kuhamasisha elimu, na kuunga mkono wanawake walioathirika.
#UsinikeketeNilinde
#EndFGM 
<a href="/cdftz/">CDF Tanzania</a>
mimilicious🌹🍒 (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Daraja la kigongo Busisi limefunguliwa leo hii na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Daraja hili linaenda kuwa funguo ya uchumi na kutatua kero za usafiri kwa watu wa kanda ya ziwa #KumenogaSioMchezo #KigongoBusisiBridge

Daraja la kigongo Busisi limefunguliwa leo hii na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan 

Daraja hili linaenda kuwa funguo ya uchumi na kutatua kero za usafiri kwa watu wa kanda ya ziwa

#KumenogaSioMchezo

#KigongoBusisiBridge
mimilicious🌹🍒 (@amina_hafidh) 's Twitter Profile Photo

Historia imeandikwa kanda ya ziwa miradi imefunguliwa Ziara ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa na manufaa makubwa sana ikiwemo kufungua fursa za kiuchumi mkoani Simiyu Asante mama hatukudai ila wewe ndo unatudai sisi #OKTOBATUNATIKI ✅️

Historia imeandikwa kanda ya ziwa miradi imefunguliwa
Ziara ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa na manufaa makubwa sana ikiwemo kufungua fursa za kiuchumi mkoani Simiyu 

Asante mama hatukudai ila wewe ndo unatudai sisi

#OKTOBATUNATIKI ✅️
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

"Wasichana wengi hukeketwa wakiwa na umri mdogo, wakikatwa ndoto zao, heshima yao na afya yao. Tusikubali mila ichukue nafasi ya utu. Tunahitaji sheria kamili na utekelezaji madhubuti sasa. #UsinikeketeNilinde #EndFGM

"Wasichana wengi hukeketwa wakiwa na umri mdogo, wakikatwa ndoto zao, heshima yao na afya yao. 
Tusikubali mila ichukue nafasi ya utu.
Tunahitaji sheria kamili na utekelezaji madhubuti sasa. 
#UsinikeketeNilinde 
#EndFGM
S C O O B Y V E L L I 💯 (@incredible_nory) 's Twitter Profile Photo

Rest Easy Grandma (LOML) 🕊️… Heaven gained a real one up there!!!💯 : Will Forever Cherish You & Most Of All Pray For You Always!!! Go Rest Peacefully My Love…🙏🏿💔😭