๐‘๐ž๐๐Ÿฆ‹ (@am_redbutterfly) 's Twitter Profile
๐‘๐ž๐๐Ÿฆ‹

@am_redbutterfly

ID: 1483892837813043206

calendar_today19-01-2022 20:03:32

1,1K Tweet

601 Followers

221 Following

John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Rekebisha mawazo yako. Maana unachokiwaza ndio kinakuwa maneno yako, maneno yako ndio yanakuwa matendo yako, matendo yako ndio yanakuwa tabia zako. Tabia zako ndio zinakuwa mfumo wako wa maisha.

Thadeo Ze King ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@th67130thadeo) 's Twitter Profile Photo

Tafuta pesa kwa ajili ya watoto wako na Familia yako,na sio kwa ajili ya wanawake...๐Ÿ™Œ,Tusichoke kupambana wakuu...๐Ÿ’ช Goodmorning Everyone,...๐Ÿค

Mwakatundu Jษพ (@amusmartz) 's Twitter Profile Photo

๐Š๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐š Tunakushukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema na Baraka zako ulizo tujalia, Leo Soap suluhisho la ngozi yako! ๐Ÿ”ธlnaondoa mikunjo ya ngozi yako na kuing'arisha ๐Ÿ”ธ Huondoa mafuta ya ziada kwenye ngozi na kuilainisha ๐Ÿ’ฐTsh 3000 ๐Ÿ“ฉ +255 766901509 Good Morning

๐Š๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐œ๐ก๐š 

      Tunakushukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema na Baraka zako ulizo tujalia,

Leo Soap suluhisho la ngozi yako!

๐Ÿ”ธlnaondoa mikunjo ya ngozi yako na kuing'arisha
๐Ÿ”ธ Huondoa mafuta ya ziada kwenye ngozi na kuilainisha
 
๐Ÿ’ฐTsh 3000
๐Ÿ“ฉ +255 766901509

Good Morning
Mr. Magnifico (@felicianrom) 's Twitter Profile Photo

Eee Mungu pale unapowapa mahitaji wengine tunaomba utukumbuke na sisi ๐Ÿ™๐Ÿ™ Good morning familia ya Mungu ๐ŸŒ„๐ŸŒ„

Eee Mungu pale unapowapa mahitaji wengine tunaomba utukumbuke na sisi ๐Ÿ™๐Ÿ™ 

Good morning familia ya Mungu ๐ŸŒ„๐ŸŒ„
Mfaume (@mfaacomini) 's Twitter Profile Photo

Umebarikiwa kama una mtu anayekujali bila sababu. Dunia ya leo, kila kitu ni faida.โœ๏ธ Good morning, FAM ๐Ÿค

Malkia Nyuki ๐Ÿ‘‘ (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

Goodmorning! Ndugu au rafiki yako au mtu yeyote anapokutaja jina lako kwenye chumba cha fursa ukapata nafasi please usimuangushe kwa kuharibu au kumuharibia ashushwe cheo au afukuzwe au kumuibia pesa au wateja hii ni laana

Paul Clementy (@paulclementy) 's Twitter Profile Photo

Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako. Good morning๐Ÿ™