king kijo (@am_joe28) 's Twitter Profile
king kijo

@am_joe28

Hold the vision, trust the process 💯 || Music blood🎶
Yanga sc || liverpool ||

ID: 1592465532149809152

calendar_today15-11-2022 10:32:45

1,1K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

king kijo (@am_joe28) 's Twitter Profile Photo

kuna ile simu ambayo Gabriel jesus huwa anapiga Kwa ex wake ambae halimtosa kisa hana kitu enzi hizo . Alafu kuna hii simu ambayo Muda anaipiga Kwa Azam ambao waligoma kumwogezea mshahara na kumwabia hatofika popote . simu ipi inakupa nguvu ya kupambana ili uje uwaprove wrong

kuna ile simu ambayo Gabriel jesus huwa anapiga Kwa ex wake ambae halimtosa kisa hana kitu enzi hizo
.
Alafu kuna hii simu ambayo Muda anaipiga Kwa  Azam ambao waligoma kumwogezea mshahara na kumwabia hatofika popote
.
simu ipi inakupa nguvu ya kupambana ili uje uwaprove wrong
king kijo (@am_joe28) 's Twitter Profile Photo

Ronaldo maktaba mpya wa Al Nasr atakuwa analipwa zaidi ya Billion 3 Kwa Siku Sisi wantanzia tuendeleni kukalili elimu ni ufunguo wa maisha😂😂

Ronaldo maktaba mpya wa Al Nasr atakuwa analipwa zaidi ya Billion 3 Kwa Siku

Sisi wantanzia tuendeleni kukalili elimu ni ufunguo wa maisha😂😂