Ally Salum Hapi (@allyhapi) 's Twitter Profile
Ally Salum Hapi

@allyhapi

Katibu Mkuu Jumuiya Wazazi CCM Tanzania (MNEC). Mkulima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

ID: 1241121817

calendar_today04-03-2013 11:13:53

3,3K Tweet

46,46K Followers

272 Following

Ally Salum Hapi (@allyhapi) 's Twitter Profile Photo

Nimemuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kufunga mafunzo ya Vyama vya ukombozi Kusini mwa Afrika katika Chuo cha Julius Nyerere Leadership School. Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Mabalozi mbalimbali na ujumbe wa Chama cha cha Kikomunisti cha China-CPC.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuungane pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki nchi yetu, tudumu katika umoja, amani na

Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tuungane pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki nchi yetu, tudumu katika umoja, amani na
Ally Salum Hapi (@allyhapi) 's Twitter Profile Photo

Nimefanya kikao kazi na Makatibu wapya wa Jumuiya ya Wazazi wilaya walioajiriwa pamoja na wakuu wa idara za Wazazi Makao makuu jijini Dodoma. Tunayo matumaini kuwa timu hii itaendeleza kasi ya mageuzi chanya ya kiutendaji ndani ya Jumuiya yetu.

Nimefanya kikao kazi na Makatibu wapya wa Jumuiya ya Wazazi wilaya walioajiriwa pamoja na wakuu wa idara za Wazazi Makao makuu jijini Dodoma. Tunayo matumaini kuwa timu hii itaendeleza kasi ya mageuzi chanya ya kiutendaji ndani ya Jumuiya yetu.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kwa unyenyekevu na shukrani, nimepokea ujumbe wa hayati Papa Francisko kwangu, kwa nchi yetu na kwa Watanzania wote, aliouandika siku chache kabla Mwenyezi Mungu hajamwita kwake, na kumkabidhi Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu Mkuu Angelo Accattino. Tuendelee kumwombea kwa

Kwa unyenyekevu na shukrani, nimepokea ujumbe wa hayati Papa Francisko kwangu, kwa nchi yetu na kwa Watanzania wote, aliouandika siku chache kabla Mwenyezi Mungu hajamwita kwake, na kumkabidhi Balozi wa Vatican hapa nchini, Askofu Mkuu Angelo Accattino.

Tuendelee kumwombea kwa
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya kipekee katika sekta ya kilimo na uchumi wa nchi yetu kwa ujumla, ambapo nimezindua Benki ya Ushirika Tanzania. Benki hii ni sehemu ya kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kuongeza tija katika sekta ya kilimo. Uanzishaji wa benki hii unalenga kutimiza hitaji la