Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile
Ali Kamwe

@alikamwe

@Media & Communication Manager of Yanga, Holds CAF Coaching License C

ID: 1214053558984667136

calendar_today06-01-2020 05:19:17

731 Tweet

446,446K Takipçi

100 Takip Edilen

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Huyu kocha ni bora asahau mabegi yake huko Ureno lakini hili Teka aje nalo .. Kuna Haaland kama nane ivi kwenye mwili mmoja wa Gyökeres 🙌🏽

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Kesho saa 1:00 asubuhi, Mwenyekiti wa Wasemaji Afrika Nitakwenda kuutembelea na kuupa Baraka uwanja wetu wa KMC COMPLEX pamoja na kupiga picha na Mashabiki wa Yanga Waandishi wa Habari mnakaribishwa

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Barcelona wamefunga Magoli 55 katika Shots on Target 102 walizopiga kwenye mechi 17 walizocheza Msimu huu kwenye mashindano yote Hii ni zaidi ya 50% ya usahihi wa utumiaji wa nafasi zao.. Ni wana ‘Upepo mzuri’ au wana Better session za Finishing kwenye uwanja wao wa mazoezi?

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

90 minutes Barca wanatoka uwanjani bila kupiga shuti Lolote langoni [0 Shots On Target] .. bila shaka, Makocha wengi watakaokuja kucheza na Barca wataipitia sana hii Mechi .. Real Sociedad wametoa shule ambayo wapenda Football Tumeenjoy🧠👏

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Goli la PRINCE DUBE sio tu ni muhimu kwenye kundi Letu .. Bali ni GOLI MUHIMU SANA kwa Yanga Msimu huu.. Alhamdulillah ..🙏🏼🔰

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

🚨Prince Dube amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga HAT TRICK kwenye uwanja wa KMC tangu Uwanja huo ulivyoanza kutumika kwenye mechi za Ligi Kuu Nb: Kitale anaendaga KMC kufunga Viatu tu😂

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

𝐆𝐔𝐒𝐀 𝐀𝐂𝐇𝐈𝐀 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 𝐊𝐖𝐀𝐎 Tiketi za mchezo wa TP Mazembe zimeshaanza kuuzwa VIP A - 30,000 VIP B - 20,000 VIP C - 10,000 MZUNGUKO - 5,000 Hakuna muda wa kupoteza! Hii ni DO & DIE Kwetu Wanayanga. Kata Tiketi yako Mwananchi [ Kwa njia ya Simu/ Kwenye vituo

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Waandishi mnaotaka kufanya Mahojiano na Mimi, Tukutane kesho kwenye Duka la CLEMENT MZIZE SINZA SAA 5:00 ASUBUHI Wananchi pia mnakaribishwa kufanya Shopping 🤩 𝐆𝐔𝐒𝐀 𝐀𝐂𝐇𝐈𝐀 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 𝐊𝐖𝐀𝐎𝐎 ..🤩🔰

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Tangu Eng. Hersi Said awe Mwenyekiti wa ACA, kwa Mara ya Kwanza Klabu zote zilizoshiriki Hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa /Kombe la Shirikisho CAF zilipata Fedha ya maandalizi, Tofauti na zamani Hela ilianza Group Stage Kila Klabu ilipata Dola 50,000 hatua ya awali.

Tangu Eng. Hersi Said awe Mwenyekiti wa ACA, kwa Mara ya Kwanza Klabu zote zilizoshiriki Hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa /Kombe la Shirikisho CAF zilipata Fedha ya maandalizi, Tofauti na zamani Hela ilianza Group Stage

Kila Klabu ilipata Dola 50,000 hatua ya awali.
Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

🚨Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka “Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi🧠”

🚨Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka

“Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi🧠”
Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Mnaoniuliza Lile ‘Goli Halali’ walilonyimwa PAMBA JIJI Leo dhidi ya AZAM FC kwanini mpaka muda huu halijapostiwa kwenye page ya AZAM TV Nafikiri kuweni na Subra .. Ni ishu za ufundi tu, Watapost.. 😄

Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Kikosi cha Young Africans SC kitawasili uwanja wa Mkapa saa 11:00 Jioni, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Leo wa Kariakoo Derby HAKUNA KIPENGELE .. 👊🏼🔰🏟️