Alex debrizy👑 (@alex_komba00) 's Twitter Profile
Alex debrizy👑

@alex_komba00

Health officer, MUHAS alumni, football for life fan of Writz,Young Africans 💚💛, Barcelona 💙❤️,and Manchester united ❤️,Messi🐐

ID: 1958986174862680064

calendar_today22-08-2025 20:16:05

1,1K Tweet

120 Followers

102 Following

Puppy🐶 (@puppycute0) 's Twitter Profile Photo

MAKUNDI MA 5 YA WANAWAKE WANAO KIMBIWA NA WANAUME 1. Controllers Hawa Ni Wale Wanawake Ambao, Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo, Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control. hawawez ku "master EGO"

MAKUNDI MA 5 YA WANAWAKE WANAO KIMBIWA NA WANAUME

1. Controllers

Hawa Ni Wale Wanawake Ambao,

Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo,

Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control.
  
hawawez ku "master EGO"
Puppy🐶 (@puppycute0) 's Twitter Profile Photo

Kumtongoza Mwanamke Hakuna Tofauti Na Kutuma Maombi Ya Kazi Katika Shirika Fulani. Kote Unaomba Upewe Nafasi. Na Taratibu Ni Zilezille  Unapoomba Kazi Ni Lazima Maombi Yako Yapitiwe (Review)  Ili Kubaini Kama Una Sifa Za Kupewa Kazi Ama Hauna.

Puppy🐶 (@puppycute0) 's Twitter Profile Photo

To a Man, Giving Is A Language He Uses To Communicate Love (Kwa Mwanaume, Kujitoa Ndio Lugha Pekee Huitumia Kuwasiliasha Upendo Wake)

To a Man, Giving Is A Language He Uses To Communicate Love

(Kwa Mwanaume, Kujitoa Ndio Lugha Pekee Huitumia Kuwasiliasha Upendo Wake)
SANTANA🐇 (@moneybrain_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Haya Maisha usikubali kuwa Msindikizaji, Wewe hukuzaliwa kwa ajili ya kushuhudia maendeleo ya wengine, Usikubali kununulika kwa pesa za Muda mfupi ili kumpa mtu uhakika wa Maisha ya ulaji kwa miaka Mitano, Ukisukuma reli leo sio kwamba kesho kodi ikiwa juu haitakuumiza.

Puppy🐶 (@puppycute0) 's Twitter Profile Photo

Ukienda katika jamii ambayo misingi yake imeharibika utagundua jamii hiyo inatawaliwa na ULEVI (Alcohol) Pombe ni kitu kinachochangia sana Kuharibu kizazi cha kiume na kusababisha UDHAIFU na UMASKINI. Huwezi Mkuta Mwanaume Shupavu Mlevi Au anabishan na wanawake mitandaoni

Mthesalonike wa KIANDA📌 (@kiandawa14) 's Twitter Profile Photo

Kama UPENDO wangu utaupima Kwa kiwango Cha nakupigia simu au kutuma Ujumbe(sms) mara ngapi Kwa siku, huenda ukanichukia ghafla kwasababu Kuna wakati Sina MOOD na MUDA pia🤦‍♂️😢 Cc CLEMENCE MWANDAMBO

SUKAYO𝕏🇹🇿 (@sukayotz) 's Twitter Profile Photo

Sidhani kama maandamano ya tarehe 29 oct yatafanikiwa kwasababu 80% mpaka 90% ya watanzania wanaweza kupinga ama utawala wakiwa online tu live live hawawezi Tarehe 29 kuna watu wataandamana online

halle quen💫 (@humblequeen02) 's Twitter Profile Photo

Naomba mnieleweshe taratibu sababu jino linaniuma hivi ikitokea mtu akawa anawakamata watekaji je polisi wataingilia kati kama kawaingilia kazi yao??