ANGELUS/MALAIKA WA BWANA.
Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria,naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
~Salamu Maria...
Ndimi mtumishi wa Bwana,nitendewe ulivyosema.
~Salamu Maria...
Neno wa Mungu akatwaa mwili,akakaa kwetu.
~Salamu Maria...
Utuombee mzazi
5th Sept 2023, Tuesday. (Prayers to St Mother Teresa)
โ๏ธ Sign of the Cross โ๏ธ
Dear Mother Teresa, embrace me in your motherly arms, for my love to be united with your love, the love that brings us to the true light, the Holy Divine Heart. My mother & mother of the world, you
KWANINI WAKATOLIKI HUFANYA ISHARA YA MSALABA KWENYE PANDA LA USO, MDOMONI NA KIFUANI WAKATI WA INJILI KATIKA MISA?
Wakati wa Misa, tunafanya ishara ndogo ya Msalaba katika panda la uso, midomoni, na kifuani, kwa sababu ishara hizi za nje zinazofanywa na miili yetu zinatuelekeza
SALA KABLA YA KULALA.
Sasa siku imekwisha,
kwako Mungu napandisha,
Moyo wangu wa shukrani,
Nipumzike kwa Amani,
Mema mengi umenipa,
Nashindwa kukulipa,
Baba mwema ondolea,
Yote niliyokukosea,
Yesu mpenzi nijie ,
Ombi langu usikie.
Unifiche mtoto wako,
Ndani ya jeraha Zako,
Ee
Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina.๐
NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA, SIKU YA 01
Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.
Ee Mtakatifu Rita mfanya miujiza, uniangalie kwa macho yako yenye huruma, mimi ninaye teseka na kutoa machozi. Uone moyo wangu unaotoka damu umezungukwa na miiba. Yaone macho
NIA NJEMA.
Kumheshimu Mungu wangu
Namtolea roho yangu,
Nifanye kazi nipumzike
Amri zake tu nishike
Wazo, neno, tendo lote
Namtolea Mungu pote
Roho, mwili chote changu,
Pendo na uzima wangu
Mungu wangu nitampenda,
Wala dhambi sitatenda.
Jina lako nasifia,
Utakalo hutimia.
Kwa
NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA.
SIKU YA 02
Kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina
Ewe mfanya miujiza Mtakatifu Rita wa Kashia. Naona njia ya maisha yako imejaa majaribu na miiba mingi inayochoma, ambayo nahofia imepasua moyo wako vipande vipande. Ee
NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA.
SIKU YA 03
Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina.
Natazama huku na huko bila ya kupata mahali pa mapumziko, huku macho yangu yakiwa yametiwa uvuli kwa uchungu. Matarajio yoyote ya dunia hii hayauchangamshi moyo wangu
Kuna watu wengi ambao ni wagonjwa, wengine wamelazwa mahospitalini, wengine wapo majumbani mwao, wamekata tamaa ya maisha, hawana tumaini tena. Tuwaombee wote na kuwakumbuka katika sala.
Mungu Mwenyezi wa milele aliye mwanzo na mwisho wa uhai, awape faraja na tumaini jipya.
NOVENA KWA MTAKATIFU RITA WA KASHIA
SIKU YA 08
โKwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mt. Amina
Ewe kielelezo kitakatifu cha Msalaba Mtukufu, ninapokuona ukiwa umesujudu mbele ya miguu mitakatifu ya Bwana, ninapotafakari paji la uso wako lililojeruhiwa kwa mwiba uliotoka