Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile
Akhun_graphix17

@akhun_graphix17

Graphic Designer & Expert Coach | I help brands engage their audience through captivating, high-quality visuals. Reach me on WhatsApp wa.link/vfgaoz

ID: 1496419226516656128

linkhttp://www.youtube.com/@akhungraphix17 calendar_today23-02-2022 09:39:14

8,8K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Lengo la LOGO PRESENTATION ni kuelezea FEATURES zilizopo ndani ya Logo kama vile Matumizi ya Rangi, Font na Kuonyesha Umuhimu wa kila kipengele Kwa MTEJA wako #akhungraphix

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Nataka nifanye jambo moja.... Instagram & LinkedIn - Ziwe za International client (kiingereza tu) X , Facebook & Tiktok- Kwaajili ya Local Client Vp wataalamu Itafanya kazi hii STRATEGY ? 😎

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Tumia hii STRATEGY....SHOW, TALK AND ASK Mfano " Kama hiyo picha (Show).....uzuri wa hizo cargo pants zilitengenezwa na Material ambayo hayapauki (Talk).....Je unahitaji kama hii (Ask)" Asubuhi Njema 🤗

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Nichukue nafasi hii kumshukuru 🙏 dogo wa maparachichi 𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 kwa kunidirect kwa watu waaminifu..Unaweza ukamsapoti kupitia Nisapoti Piah nimshukuru xander_bussines kwa kuaminiwa na kuifanya kazi iliotukuka ukihitaju bando unaweza ukamcheki AMENYOOKA ✅

Akhun_graphix17 (@akhun_graphix17) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mwanangu Mmoja huyo anakujaga Ananiambia Nimfanyie #kazi nikimtajia Bei anapotea kama mwezi 😅 Anakuja tena mwezi mwingine na kazi mpya Mambo yanakuwa yaleyale na mimi nishamzoea .......!