Mtume Muhammad S.A.W alisema "Asitamani mmoja wenu kifo kwa sababu ya taabu zinazomzonga, kwa sababu ya misukosuko ya dunia, kwa sababu ya maisha magumu. Ukasema natamani nisingekuwepo katika dunia au hata kutamani kujiua." Hakika ya Mwenyezi Mungu yuko na wenye kusubiri.
mKigoma ⚓ Na Mwislamu yeyote asione aibu kutafuta elimu kwa kuhofia watu watamuonaje kutokana na cheo, kazi au utajiri wake. Manake mwenye aibu hapati kujifunza
Allah atufanyie wepesi ila ni msiba unakutana na vijana wa rika lako au vijana baleghe tayari msikitini namna ya kuchukua udhu na kuswali ni mtihani hili ni suala la kufedhehesha wallah sisi tunaenda kua wazazi tusiwe sehemu ya wazazi watakaolea watoto kisasa na tushindwe
Kama unaliona hili TANGAZO tunaomba repost yako wengi wajue 🙏🏿
"IDI KUBWA" sikukuu biriani itakuwepo☑️
Weka oda yako advance tukufikishie parcel yako on time
+255719068333 ☎️ WhatsApp☑️
📍Tuko sinza mori close na delina apartment kabla haujafika kitambaa cheupe
Just because someone has left their doors open doesn’t give you the freedom to go inside and steal their belongings.
People choose to post their own pictures for their own reasons. That shouldn’t give you the freedom to sexualize them by using AI tools.
To well mannered
Huenda tunaishi katika neema ambazo tuliwahi kupiga goti kumuomba Mungu atujaalie neema hizo. Hatujioni kwa sababu mioyo ya mwanadamu si yenye kushukuru hata kwa kidogo. Ikipata pesa inataka tatu na ikipata tatu inataka tano.
Kifo humfika mtu yeyote na wakati wowote. Basi ishi maisha yako kama leo ndio mwisho wa uhai wako, hiyo itakusaidia kuishi na watu kwa wema na uadilifu. Dunia ni pambo tu lenye kupoteza halafu la muda mfupi. Basi yasikufanye yale yanayoihusu Dunia ukapoteza utu wako.
Nina mchele almost gunia 30+ 🤌🏽 ni mchele Grade 1 yani its grade A pure na msafi kabsa from Ifakara....
Nahitaji wateja 🥱🤲🏽 mniungishe nisife maskini jamani...In case your Interested nitumie message Inbox/DM 📥
Mtume Muhammad (SAW) alimwambia mtu:
"Yatumie vizuri mambo matano kabla hayajakupata matano mengine:"
1. Ujana wako kabla ya uzee wako
2. Afya yako kabla ya maradhi yako
3. Utajiri wako kabla ya ufukara wako
4. Wakati wako wa faragha kabla ya shuguli zako
5. Uhai wako kabla
Kiasi kidogo cha halali chenye amani na uhuru wa kuishi na kuabudu ni bora zaidi kuliko haramu inayokuondolea uhuru huo. Vijana, tuendelee kupambana kwa njia halali; kilichoandikwa, kimeandikwa. Mwisho wa siku, kaburi halina VIP, na maisha ya dunia hayakuwa ila ni pambo la muda
Kwa wale wenye kuamini ni muhimu sana kusoma maisha na visa vya wale waliokuwa kabla yetu. Kwa sababu wengi wao walikuwa wameneemeshwa vitu vingi lakini wamebaki historia katika ulimwengu.
Ukimaliza kusoma visa vyao, geukia familia na ukoo wako. Wakumbuke mababu zako