Afya Facts (@afyafactz) 's Twitter Profile
Afya Facts

@afyafactz

Ukurasa namba 1 kwa afya yako! Chanzo aminika cha elimu, habari na kweli zote za afya; kila siku kwa lugha yetu pendwa ya kiswahili | Tufuatilie Sasa 👇

ID: 1215602433885450240

calendar_today10-01-2020 11:53:15

12,12K Tweet

16,16K Followers

75 Following

Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Ipo imani ya muda mrefu inayodai kuwa Mtoto wa miezi 7 akizaliwa anaishi, lakini wa miezi 8 hufa. Hii si kweli, bali ni Upotoshaji usio na msingi wa Kisayansi. Kwa mujibu wa tiba ya kisasa, mtoto huzaliwa njiti endapo atazaliwa kabla ya wiki ya 37 ya Ujauzito. Kadri Ujauzito

Ipo imani ya muda mrefu inayodai kuwa Mtoto wa miezi 7 akizaliwa anaishi, lakini wa miezi 8 hufa. Hii si kweli, bali ni Upotoshaji usio na msingi wa Kisayansi.

Kwa mujibu wa tiba ya kisasa, mtoto huzaliwa njiti endapo atazaliwa kabla ya wiki ya 37 ya Ujauzito. Kadri Ujauzito
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Utafiti uliochapishwa Juni 2023 katika Jarida la Kitabibu la 'Reproductive Biology and Endocrinology' uliofanywa na watafiti wa Chuo Kikuu cha Semmelweis nchini Hungaria, ulionesha kuwa viwango vya Uzalishaji wa Mbegu za kiume vimepungua kwa 50% katika kipindi cha miaka 50

Mara nyingi Mjamzito huanza kusikia Mtoto wake Akicheza kuanzia Wiki ya 18 hadi 24 ya Ujauzito na hii huwa ni dalili Njema kwani huashiria Maendeleo Mazuri ya Mtoto Dhana ya kwamba Mimba inavyozidi Kukua ndivyo Mtoto atakavyopunguza Kucheza si Sahihi kwani Mtoto anapaswa

Mara nyingi Mjamzito huanza kusikia Mtoto wake Akicheza kuanzia Wiki ya 18 hadi 24 ya Ujauzito na hii huwa ni dalili Njema kwani huashiria Maendeleo Mazuri ya Mtoto

Dhana ya kwamba Mimba inavyozidi Kukua ndivyo Mtoto atakavyopunguza Kucheza si Sahihi kwani Mtoto anapaswa
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Utafiti uliofanywa kwenye Wilaya 9 za Tanzania ikihusisha Mikoa ya Dar es Salaam, Iringa na Mbeya kisha kuchapishwa Machi 28, 2025 kwenye Jarida la 'Springer Open' umeonesha uwepo wa Masalia ya Kemikali za Dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI (ARV's) kwenye nyama za Nguruwe na Kuku

Asali ni tiba ya asili ambayo imekuwa ikitumika kwa miaka mingi kutuliza Kikohozi na Maumivu ya Koo. Tafiti mbalimbali zimeonesha kuwa asali ina uwezo mkubwa wa kupunguza Miwasho kooni na kusaidia kupunguza kikohozi, hasa kile cha usiku ambacho huweza kuathiri Usingizi. Asali

Asali ni tiba ya asili ambayo imekuwa ikitumika kwa miaka mingi kutuliza Kikohozi na Maumivu ya Koo. Tafiti mbalimbali zimeonesha kuwa asali ina uwezo mkubwa wa kupunguza Miwasho kooni na kusaidia kupunguza kikohozi, hasa kile cha usiku ambacho huweza kuathiri Usingizi.

Asali
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Vitamin E ni kirutubisho muhimu ambacho husaidia afya ya uzazi kwa Wanawake na Wanaume, huitwa Vitamini ya kupambana na Ugumba. Kwa wanawake, husaidia kuongeza ute wa uke unaorahisisha mbegu za kiume kusafiri hadi kwenye yai. Pia husaidia kuimarisha mayai na ukuta wa mji wa

Vitamin E ni kirutubisho muhimu ambacho husaidia afya ya uzazi kwa Wanawake na Wanaume, huitwa Vitamini ya kupambana na Ugumba.

Kwa wanawake, husaidia kuongeza ute wa uke unaorahisisha mbegu za kiume kusafiri hadi kwenye yai. Pia husaidia kuimarisha mayai na ukuta wa mji wa
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa zimepita siku sita tangu majibu ya vinasaba (DNA) kutolewa na kuonyesha kuwa mkazi wa Mtaa wa Ndarvoi, Neema Kilugala (26), aliyedai kubadilishiwa mtoto siyo kweli na kuwa mtoto aliyepewa (ambaye kwa sasa ni marehemu) ndiye wa kwake, familia hiyo imesusia mwili wa mtoto

Wastani wa kawaida wa umri wa ukomo wa hedhi ni miaka 51, japo inaweza kuwahi zaidi au kuchelewa pia kutokana na umri wa mwanamke mwenyewe ambapo hedhi yake ya kwanza ilianza. veriafya.com/2022/05/08/sab…

Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Unapanga kupata ujauzito? Epuka kutumia dawa zenye viambata vya Tretinoin (Retinoids) walau Miezi 3 kabla ya Kupata Ujauzito Tretinoin ni dawa inayotumika kutibu Chunusi, Mikunjo ya Ngozi na Madoa Meusi. Inapatikana kwa majina ya kibiashara kama Retin-A, Renova, Avita, Atralin

Unapanga kupata ujauzito? Epuka kutumia dawa zenye viambata vya Tretinoin (Retinoids) walau Miezi 3 kabla ya Kupata Ujauzito

Tretinoin ni dawa inayotumika kutibu Chunusi,  Mikunjo ya Ngozi na Madoa Meusi. Inapatikana kwa majina ya kibiashara kama Retin-A, Renova, Avita, Atralin
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Majani ya mti wa Mstafeli yanaweza kusaidia kupambana na Maambukizi ya Fangasi aina ya Candida, ambayo huwasumbua sana Wanawake kwa kusababisha uchafu Ukeni, Muwasho na harufu mbaya. Tafiti za afya zimeonesha kuwa kemikali za asili zilizopo kwenye majani haya zina uwezo mkubwa

Majani ya mti wa Mstafeli yanaweza kusaidia kupambana na Maambukizi ya Fangasi aina ya Candida, ambayo huwasumbua sana Wanawake kwa kusababisha uchafu Ukeni, Muwasho na harufu mbaya.

Tafiti za afya zimeonesha kuwa kemikali za asili zilizopo kwenye majani haya zina uwezo mkubwa
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Isipokuwa kwa Maelezo ya Daktari, haushauriwi kumpa Aspirin Mtoto mwenye Umri chini ya Miaka 16. Dawa hii inaweza kusababisha tatizo hatari lisioonekana sana linaitwa Reye’s Syndrome ambalo huathiri Ubongo na Ini la mtoto. Dalili zake ni kama Kutapika sana, Kuchanganyikiwa,

Isipokuwa kwa Maelezo ya Daktari, haushauriwi kumpa Aspirin Mtoto mwenye Umri chini ya Miaka 16. 

Dawa hii inaweza kusababisha tatizo hatari lisioonekana sana linaitwa Reye’s Syndrome ambalo huathiri Ubongo na Ini la mtoto.

Dalili zake ni kama Kutapika sana, Kuchanganyikiwa,
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Wanawake waliowahi kujifungua kwa Upasuaji wanapaswa kuwa waangalifu wanapopanga njia ya kujifungua kwa mimba inayofuata. Ingawa inawezekana kujifungua kwa njia ya kawaida baada ya upasuaji, si kila Mama anafaa au yuko salama kujaribu njia hiyo. Kujifungua kwa nguvu kwa njia ya

Wanawake waliowahi kujifungua kwa Upasuaji wanapaswa kuwa waangalifu wanapopanga njia ya kujifungua kwa mimba inayofuata. Ingawa inawezekana kujifungua kwa njia ya kawaida baada ya upasuaji, si kila Mama anafaa au yuko salama kujaribu njia hiyo.

Kujifungua kwa nguvu kwa njia ya
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Ujauzito siyo jambo la dharura wala bahati mbaya. Hutokea kwenye siku maalumu na mazingira sahihi. veriafya.com/2022/05/28/jin…

Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Miaka ya zamani, tumbo kubwa lilihusishwa na utajiri, au uwepo wa mafanikio kwenye maisha. Mambo yamebadilika. Tumbo kubwa huondoa urembo kwa wanawake, au utanashati kwa wanaume. Leo, tumbo kubwa ni mzigo. veriafya.com/2022/05/28/jin…

Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Kiufupi, kubemenda ni kudumaa kwa mtoto, kimwili na kiakili. Hutokea kwenye siku 1000 za mwanzo wa uhai wa mtoto. veriafya.com/2023/03/13/kub…

Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Ukikaa bila kufanya mazoezi au kutembea mara kwa mara wakati wa Ujauzito, Mwili unaweza kuanza kuvimba. Hii ni kwasababu Mwili unahitaji kusaidiwa kusukuma damu vizuri, hasa sehemu za Miguu, Mikono na Uso. Kukaa tu au kulala muda mrefu bila kuamka na kutembea kunaweza kufanya

Ukikaa bila kufanya mazoezi au kutembea mara kwa mara wakati wa Ujauzito, Mwili unaweza kuanza kuvimba. Hii ni kwasababu Mwili unahitaji kusaidiwa kusukuma damu vizuri, hasa sehemu za Miguu, Mikono na Uso.

Kukaa tu au kulala muda mrefu bila kuamka na kutembea kunaweza kufanya
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Usile chakula kingi kwa wakati mmoja kwani huongeza Asidi tumboni na huweza kuumiza zaidi vidonda. Badala yake, kula milo midogo mara 5 hadi 6 kwa siku. Hii husaidia tumbo lisijae sana kwa wakati mmoja pamoja na kufanya Mwili uzalishe Asidi ndogo hivyo kupunguza maumivu.

Usile chakula kingi kwa wakati mmoja kwani huongeza Asidi tumboni na huweza kuumiza zaidi vidonda.

Badala yake, kula milo midogo mara 5 hadi 6 kwa siku. Hii husaidia tumbo lisijae sana kwa wakati mmoja pamoja na kufanya Mwili uzalishe Asidi ndogo hivyo kupunguza maumivu.
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Mboga za Majani ni muhimu sana kwa afya ya utumbo na zinaweza kusaidia kuzuia Saratani ya Utumbo Mpana. Hii ni kwa sababu zina nyuzinyuzi nyingi ambazo husaidia usagaji wa chakula na kuzuia kufunga choo. Pia, zina virutubisho vinavyolinda mwili dhidi ya seli hatarishi. Mboga

Mboga za Majani ni muhimu sana kwa afya ya utumbo na zinaweza kusaidia kuzuia Saratani ya Utumbo Mpana.

Hii ni kwa sababu zina nyuzinyuzi nyingi ambazo husaidia usagaji wa chakula na kuzuia kufunga choo. Pia, zina virutubisho vinavyolinda mwili dhidi ya seli hatarishi.

Mboga
Veriafya (@veriafya) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa jimbo la Bahi (CCM), Keneth Nollo, ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu wa watumishi wa umma, hususan wale wa sekta ya afya, kusherehekea sikukuu mbalimbali, akisema hali hiyo imekuwa ikisababisha Watanzania kupoteza maisha kwa kukosa huduma hospitalini nyakati

Kichaa cha Mbwa ni Ugonjwa hatari ambao hausababishwi na Mbwa Pekee ila hata Paka, Popo na Mbweha wanaweza kukuambukiza ugonjwa huu kwa Kukung'ata au Mikwaruzo, hata kama bado kwa zaidi ya asilimia 90% chanzo huwa ni mbwa Watoto na Wafugaji wako hatarini zaidi kupata Maambukizi

Kichaa cha Mbwa ni Ugonjwa hatari ambao hausababishwi na Mbwa Pekee ila hata Paka, Popo na Mbweha wanaweza kukuambukiza ugonjwa huu kwa Kukung'ata au Mikwaruzo, hata kama bado kwa zaidi ya asilimia 90% chanzo huwa ni mbwa

Watoto na Wafugaji wako hatarini zaidi kupata Maambukizi