adamlutta (@adamlutta) 's Twitter Profile
adamlutta

@adamlutta

Swahili Tech Guru, Napenda Smartphones

ID: 742504663

calendar_today07-08-2012 08:56:16

3,3K Tweet

5,5K Followers

978 Following

Enjoy Football 🌴🏆 (@wilsonjuma08) 's Twitter Profile Photo

Skuizi hawajadili tena kiki za diamond. Skuizi hawajadili tena wasimbe. Skuizi hawajadili tena muonekano wa tillah. Sio kwamba hawakuona maziwa ya neypaul, sio kwamba hawawaoni chicca na martha, sio kwamba hawaoni ndoa za jux, kiki za ibrah na konde. ILA KWAO SIO STORY TENA ✊🏾

Babel Mask-Off😷. (@babelmaskoff) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mshikaji Naona Atakua Ni Ndugu Yetu,Amekuja Namsikia Yupo Sebuleni Hapo Amekuja Kutangaza Ndoa.Yani Anaoa Hivi Karibu Nipo Chumbani Peke Yangu Nacheka Kama Mpumbavu 😆😁💔.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mange kaacha UMBEA inamaanisha kapoteza zaidi ya $100,000 kwa Mwezi. Na amesema ataachana na UMBEA kwa Miezi mitano. Inamaansha anaenda kupoteza zaidi ya $500,000 kwa miezi mitano. Yote kwaajili ya HARAKATI za kuikomboa TANZANIA. Kipenzi cha WAPENDA HAKI, hapa umejua Kutukosha

Mange kaacha UMBEA inamaanisha kapoteza zaidi ya $100,000 kwa Mwezi. Na amesema ataachana na UMBEA kwa Miezi mitano.

Inamaansha anaenda kupoteza zaidi ya $500,000 kwa miezi mitano. Yote kwaajili ya HARAKATI za kuikomboa TANZANIA. 

Kipenzi cha WAPENDA HAKI, hapa umejua Kutukosha