Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile
Abdulsamad Abdulrahim

@abdulsamad_tz

Humble Loving Father | Pan-Africanist |Philanthropist | Diplomat | Entrepreneur & Implementor who believes in turning big ideas into reality.

ID: 493903819

calendar_today16-02-2012 09:41:59

4,4K Tweet

9,9K Takipçi

148 Takip Edilen

The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

While acknowledging ongoing government efforts to attract foreign investors, prominent businessman Rostam Aziz has called for the formulation of policies and laws that favour local entrepreneurs, insisting that only Tanzanians can truly build their country.

While acknowledging ongoing government efforts to attract foreign investors, prominent businessman Rostam Aziz has called for the formulation of policies and laws that favour local entrepreneurs, insisting that only Tanzanians can truly build their country.
TanzaniaInvest.com (@tanzaniainvest) 's Twitter Profile Photo

𝗘𝘃𝗲𝗿𝘆𝘁𝗵𝗶𝗻𝗴 𝗬𝗼𝘂 𝗡𝗲𝗲𝗱 𝘁𝗼 𝗞𝗻𝗼𝘄 𝗔𝗯𝗼𝘂𝘁 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗩𝗶𝘀𝗶𝗼𝗻 𝟮𝟬𝟱𝟬 — 𝗟𝗮𝘂𝗻𝗰𝗵𝗲𝗱 𝗬𝗲𝘀𝘁𝗲𝗿𝗱𝗮𝘆 Full breakdown on TanzaniaInvest: tanzaniainvest.com/economy/vision… #tanzania #Vision2050 #privatesector #businessclimate ikulu_Tanzania

𝗘𝘃𝗲𝗿𝘆𝘁𝗵𝗶𝗻𝗴 𝗬𝗼𝘂 𝗡𝗲𝗲𝗱 𝘁𝗼 𝗞𝗻𝗼𝘄 𝗔𝗯𝗼𝘂𝘁 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗩𝗶𝘀𝗶𝗼𝗻 𝟮𝟬𝟱𝟬 — 𝗟𝗮𝘂𝗻𝗰𝗵𝗲𝗱 𝗬𝗲𝘀𝘁𝗲𝗿𝗱𝗮𝘆

Full breakdown on TanzaniaInvest: tanzaniainvest.com/economy/vision…

#tanzania #Vision2050  #privatesector #businessclimate <a href="/ikulumawasliano/">ikulu_Tanzania</a>
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Changamoto ni mwalimu bora wa maisha, anayekutayarisha kwa ajili ya siku zijazo. Kila kikwazo kinachokuja mbele yako ni fursa ya kujifunza, kujitathmini, kubadilika na kukua.”                     #NasahaZaAbdul

“Changamoto ni mwalimu bora wa maisha, anayekutayarisha kwa ajili ya siku zijazo. Kila kikwazo kinachokuja mbele yako ni fursa ya kujifunza, kujitathmini, kubadilika na kukua.”
                     #NasahaZaAbdul
Africa View Facts (@africaviewfacts) 's Twitter Profile Photo

The East African Crude Oil Pipeline from Uganda 🇺🇬 to Tanzania 🇹🇿, stretching 1,443 kilometers is now 64.5% complete. It is set to become the world’s longest heated crude oil pipeline. Construction began in 2023, and oil exports are expected to start in 2027.

The East African Crude Oil Pipeline from  Uganda 🇺🇬 to Tanzania 🇹🇿, stretching 1,443 kilometers is now 64.5% complete.

It is set to become the world’s longest heated crude oil pipeline.

Construction began in 2023, and oil exports are expected to start in 2027.
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Jiepushe na visasi na kaa mbali na migogoro isiyokuhusu kwani huongeza chuki na uhasama. Acha haki ifuate mkondo wake. Hasira hufanya uamuzi mbaya, lakini amani huleta busara.”                     #NasahaZaAbdul

“Jiepushe na visasi na kaa mbali na migogoro isiyokuhusu kwani huongeza chuki na uhasama. Acha haki ifuate mkondo wake. Hasira hufanya uamuzi mbaya, lakini amani huleta busara.”
                     #NasahaZaAbdul
TanzaniaInvest.com (@tanzaniainvest) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Attracts USD 1.72 Billion in FDI in 2024, Up 28.3%; Fastest-Growing in East Africa, Driven by Investment Facilitation and PPPs. Read more at: tanzaniainvest.com/economy/unctad… UN Trade and Development #FDI #tanzania

Tanzania Attracts USD 1.72 Billion in FDI in 2024, Up 28.3%; Fastest-Growing in East Africa, Driven by Investment Facilitation and PPPs.

Read more at: tanzaniainvest.com/economy/unctad…

<a href="/UNCTAD/">UN Trade and Development</a>   #FDI #tanzania
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Fitna na kashfa husambaa haraka zaidi kuliko mema. Hata ukifanya mema makubwa kama Mlima Kilimanjaro, mara moja tu utakapofanya kosa dogo, watu huusahau yote mazuri uliyoifanya.”                     #NasahaZaAbdul

“Fitna na kashfa husambaa haraka zaidi kuliko mema. Hata ukifanya mema makubwa kama Mlima Kilimanjaro, mara moja tu utakapofanya kosa dogo, watu huusahau yote mazuri uliyoifanya.”
                     #NasahaZaAbdul
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

A long-awaited deal to set out the terms of Tanzania’s $42 billion liquefied natural gas (LNG) plant will be finalised within two weeks, The Citizen has reliably learnt. Finalisation of the Host Government Agreement (HGA) between Tanzania and international partners will pave the

A long-awaited deal to set out the terms of Tanzania’s $42 billion liquefied natural gas (LNG) plant will be finalised within two weeks, The Citizen has reliably learnt.

Finalisation of the Host Government Agreement (HGA) between Tanzania and international partners will pave the
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

The Democratic Republic of Congo has entered into a $46.37 million sponsorship deal with Spanish football club FC Barcelona, aiming to rebrand the conflict-affected nation as a prime tourism destination under the tagline “heart of Africa”. thecitizen.co.tz/tanzania/sport…

The Democratic Republic of Congo has entered into a $46.37 million sponsorship deal with Spanish football club FC Barcelona, aiming to rebrand the conflict-affected nation as a prime tourism destination under the tagline “heart of Africa”.

thecitizen.co.tz/tanzania/sport…
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Sio kila rafiki wa karibu ni rafiki wa kweli. Wengine hujificha kwa mikakati, wengine hupenda kufichua siri zako kwa wengine. Tuwe makini katika kuamini na kushirikiana na watu.”                     #NasahaZaAbdul

“Sio kila rafiki wa karibu ni rafiki wa kweli. Wengine hujificha kwa mikakati, wengine hupenda kufichua siri zako kwa wengine. Tuwe makini katika kuamini na kushirikiana na watu.”
                     #NasahaZaAbdul
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

Top Fully Funded Scholarships for 2026 We’ve heard your concerns and the heartfelt requests you've shared with us. Today, we return with hope and a lasting solution. If you're searching for fully funded scholarships for 2026, you're not alone and you’re not without options.

Top Fully Funded Scholarships for 2026

We’ve heard your concerns and the heartfelt requests you've shared with us. Today, we return with hope and a lasting solution. If you're searching for fully funded scholarships for 2026, you're not alone and you’re not without options.
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Wapo watu furaha yao ni kuona unaharibikiwa tu. Mtu huyo akisikia lako au umepata shida, hulipalilia moto na kuanzisha wimbi la Fitna. Alimradi uharibikiwe na usemwe vibaya. Tuwe makini na watu waliotuzunguka!”                     #NasahaZaAbdul

“Wapo watu furaha yao ni kuona unaharibikiwa tu. Mtu huyo akisikia lako au umepata shida, hulipalilia moto na kuanzisha wimbi la Fitna. Alimradi uharibikiwe na usemwe vibaya. Tuwe makini na watu waliotuzunguka!” 
                     #NasahaZaAbdul
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Wanadamu wanaweza kuwa na sauti kubwa kwa maneno, lakini usiruhusu hofu yao ikuathiri. Hofu ni gereza la akili, lakini imani ni ufunguo wa uhuru wako wa ndani. Simama imara, jiamini, na songa mbele bila kuogopa hukumu wala dharau za watu.”                     #NasahaZaAbdul

“Wanadamu wanaweza kuwa na sauti kubwa kwa maneno, lakini usiruhusu hofu yao ikuathiri. Hofu ni gereza la akili, lakini imani ni ufunguo wa uhuru wako wa ndani. Simama imara, jiamini, na songa mbele bila kuogopa hukumu wala dharau za watu.”
                     #NasahaZaAbdul
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Tuvumilie na kuheshimu watu wenye mapungufu, tukachukue hekima, ukarimu, na uzuri waliouonyesha. Kila mtu ana thamani na kitu cha kipekee cha kutoa duniani.”                     #NasahaZaAbdul

“Tuvumilie na kuheshimu watu wenye mapungufu, tukachukue hekima, ukarimu, na uzuri waliouonyesha. Kila mtu ana thamani na kitu cha kipekee cha kutoa duniani.”
                     #NasahaZaAbdul
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Kuwa na moyo wa shukrani na ujifunze kufurahia mafanikio ya wenzako, maana kila mmoja ana nafasi yake na sote tunakamilishana katika safari ya maisha.”                     #NasahaZaAbdul

“Kuwa na moyo wa shukrani na ujifunze kufurahia mafanikio ya wenzako, maana kila mmoja ana nafasi yake na sote tunakamilishana katika safari ya maisha.”
                     #NasahaZaAbdul
Abdulsamad Abdulrahim (@abdulsamad_tz) 's Twitter Profile Photo

“Kujishusha kwa watu ni ishara ya hekima, busara, na uzalendo. Vaa viatu hivi kila siku ili kuleta heshima, kuelewana, na maendeleo ya pamoja.”                     #NasahaZaAbdul

“Kujishusha kwa watu ni ishara ya hekima, busara, na uzalendo. Vaa viatu hivi kila siku ili kuleta heshima, kuelewana, na maendeleo ya pamoja.”
                     #NasahaZaAbdul