Graphics Ghost👻 (@abbastudios119) 's Twitter Profile
Graphics Ghost👻

@abbastudios119

Graphics designer🖥⌨Photographer📸Brand Designer💡Mobile photographer📱

#WANAZI HQ
Wa.me/+255623416710

ID: 1570426614520991747

calendar_today15-09-2022 14:57:57

7,7K Tweet

1,1K Takipçi

840 Takip Edilen

Pumpkin 🎃 (@apvmpkin) 's Twitter Profile Photo

Wanaharakati wamekuwa wakipotosha ukweli kwa makusudi wakijaribu kusukuma ajenda zao binafsi zisizo na msingi. Ukweli ni kwamba Rais Samia Suluhu Hassan alialikwa kushiriki fireside chat ya marais wanawake wa Afrika, lakini ratiba hiyo iligongana na kikao nyeti cha CAHOSCC .

LISSU AANGUKIA PUA, USHAHIDI WA POLISI WATHIBITISHWA Kisheria maswali ya Lissu hayakuweza kubomoa ushahidi wa msingi kuhusu tukio la Mromboo, bali yalionekana kuthibitisha weledi wa polisi. Badala ya kuonyesha dosari katika operesheni ya polisi au ushahidi wa watuhumiwa,

LISSU AANGUKIA PUA, USHAHIDI WA POLISI WATHIBITISHWA

Kisheria maswali ya Lissu hayakuweza kubomoa ushahidi wa msingi kuhusu tukio la Mromboo, bali yalionekana kuthibitisha weledi wa polisi.

Badala ya kuonyesha dosari katika operesheni ya polisi au ushahidi wa watuhumiwa,
Pumpkin 🎃 (@apvmpkin) 's Twitter Profile Photo

Hakuna maridhiano yanayoweza kufanikiwa bila kutambua ukweli. Ukweli ni kwamba CCM inaongoza nchi kwa ridhaa ya wengi. CHADEMA wanajaribu kupindisha ukweli huu kwa maslahi yao. Huwezi kusema unataka amani huku unachochea kutoitambua serikali.

Hakuna maridhiano yanayoweza kufanikiwa bila kutambua ukweli.
   Ukweli ni kwamba CCM inaongoza nchi kwa ridhaa ya wengi.
   CHADEMA wanajaribu kupindisha ukweli huu kwa maslahi yao.
   Huwezi kusema unataka amani huku unachochea kutoitambua serikali.
Pumpkin 🎃 (@apvmpkin) 's Twitter Profile Photo

Ni ajabu jinsi CHADEMA wanavyobadilika kama kinyonga. Leo wanatukana, kesho wanaomba kukaa meza ya maridhiano. Huu ni ukosefu wa msimamo unaoashiria uongozi mbovu. Taifa linahitaji viongozi wenye msimamo thabiti na wa kweli. Siyo watu wanaocheza na akili za

Ni ajabu jinsi CHADEMA wanavyobadilika kama kinyonga.
   Leo wanatukana, kesho wanaomba kukaa meza ya maridhiano.
   Huu ni ukosefu wa msimamo unaoashiria uongozi mbovu.
   Taifa linahitaji viongozi wenye msimamo thabiti na wa kweli.
   Siyo watu wanaocheza na akili za
Pumpkin 🎃 (@apvmpkin) 's Twitter Profile Photo

Tanzania yashika nafasi ya kwanza Afrika na ya nne duniani kwa uzalishaji wa kahawa. Mafanikio haya ni matokeo ya juhudi za Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na wadau wa sekta ya kahawa katika kuboresha uzalishaji na ubora wa zao hili la kipekee.

Tanzania yashika nafasi ya kwanza Afrika na ya nne duniani kwa uzalishaji wa kahawa.

Mafanikio haya ni matokeo ya juhudi za Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na wadau wa sekta ya kahawa katika kuboresha uzalishaji na ubora wa zao hili la kipekee.
Cake's and foods (@rahma_makeki) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo. Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41,⤵️

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo.

Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41,⤵️
𝗠𝗿 𝘀𝗶𝘆𝗲𝗻𝗴𝗼 (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo. Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41, ⤵️

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo.

Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41, ⤵️
Pumpkin 🎃 (@apvmpkin) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo. Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41,

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo.

Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41,
BARADHULI🇹🇿 (@baradhuli2) 's Twitter Profile Photo

SHAHIDI ALIVYOMPIGA ZA USO MUHAINI MAHAKAMANI. Lissu: “Kwa hiyo hawakufanya chochote kuhusu kesi yako baada ya kukukamata?” Shahidi (kwa utulivu): “Nilikuwa naenda kufagia na kuondoka.” Lissu: “Kwa hiyo hawakufanya chochote zaidi ya kufagia? Kwa nini?” Shahidi: “Wewe ndio

SHAHIDI ALIVYOMPIGA ZA USO MUHAINI MAHAKAMANI. 

Lissu:
“Kwa hiyo hawakufanya chochote kuhusu kesi yako baada ya kukukamata?”

Shahidi (kwa utulivu):
“Nilikuwa naenda kufagia na kuondoka.”

Lissu:
“Kwa hiyo hawakufanya chochote zaidi ya kufagia? Kwa nini?”

Shahidi:
“Wewe ndio
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) *Aman Golugwa* na Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa *Pamela Maasay* wameandaa mpango wa siri wa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia msaada wa ufadhili wa fedha kutoka Ubalozi wa Ulaya (EU)....

SHAHIDI ALIVYOMPIGA ZA USO MUHAINI MAHAKAMANI. Lissu: “Kwa hiyo hawakufanya chochote kuhusu kesi yako baada ya kukukamata?” Shahidi (kwa utulivu): “Nilikuwa naenda kufagia na kuondoka.” Lissu: “Kwa hiyo hawakufanya chochote zaidi ya kufagia? Kwa nini?” ......

SHAHIDI ALIVYOMPIGA ZA USO MUHAINI MAHAKAMANI. 

Lissu:
“Kwa hiyo hawakufanya chochote kuhusu kesi yako baada ya kukukamata?”

Shahidi (kwa utulivu):
“Nilikuwa naenda kufagia na kuondoka.”

Lissu:
“Kwa hiyo hawakufanya chochote zaidi ya kufagia? Kwa nini?”
......
cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Lissu ameibua malalamiko akieleza kuwa Makamu Mwenyekiti, John Heche, hajamtembelea gerezani tangu alipowekwa mahabusu. Kwa mujibu wa taarifa ya Lissu alitegemea kuona viongozi wenzake wakimtembelea Gerezani kama ishara ya mshikamano si tu wa kisiasa, bali pia kumtia moyo

𝗔𝗡𝗞A (@papito_120) 's Twitter Profile Photo

Lissu ameibua malalamiko akieleza kuwa Makamu Mwenyekiti, John Heche, hajamtembelea gerezani tangu alipowekwa mahabusu. Kwa mujibu wa taarifa, Lissu alitegemea kuona viongozi wenzake wakimtembelea Gerezani kama ishara ya mshikamano si tu wa kisiasa, ..

Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

SHAHIDI ALIVYOMPIGA ZA USO MUHAINI MAHAKAMANI. Lissu: “Kwa hiyo hawakufanya chochote kuhusu kesi yako baada ya kukukamata?” Shahidi (kwa utulivu): “Nilikuwa naenda kufagia na kuondoka.” Lissu: “Kwa hiyo hawakufanya chochote zaidi ya kufagia? Kwa nini?” Shahidi: “Wewe ndio

SHAHIDI ALIVYOMPIGA ZA USO MUHAINI MAHAKAMANI. 

Lissu:
“Kwa hiyo hawakufanya chochote kuhusu kesi yako baada ya kukukamata?”

Shahidi (kwa utulivu):
“Nilikuwa naenda kufagia na kuondoka.”

Lissu:
“Kwa hiyo hawakufanya chochote zaidi ya kufagia? Kwa nini?”

Shahidi:
“Wewe ndio
Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo. Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41, na

Ujenzi wa Daraja la Jangwani unaendelea vizuri katika Jiji la Dar es Salaam, ukiwa ni mradi muhimu wa kuimarisha miundombinu ya usafiri na kupunguza changamoto za msongamano pamoja na athari za mafuriko katika eneo hilo.

Daraja hilo lina urefu wa mita 390 na upana wa mita 41, na
Wakusoma 👑 (@wakusoma223) 's Twitter Profile Photo

Mshikamano wao ni wa kwenye kamera tu; ikifika kwenye majukumu ya kweli kila mtu anapotea kama hajawahi kuapa chochote. Hapo ndipo unajua harakati zao ni porojo, si dhamira.