Lingz
@_slimshady31
I just say whatever I want to whoever I want
Whenever I want, wherever I want, however I want.
However, I do show some respect to few.
ID: 1376072526758039554
28-03-2021 07:24:23
9,9K Tweet
380 Takipçi
294 Takip Edilen
Max Lingz Nico Minde, PhD Sasa ukipitia maoni ya Ripoti ya Nyalali wananchi walitaka plural democracy sio tu demokrasia iliyojibana kwa vyama vingi tu. Waligusia suala la uhuru wa vyama vya wafanyakazi, waligusia suala la sauti za wakulima. Walitaka mfumo utakao guarantee wao kuwa na nguvu zaidi..
Max Lingz Nico Minde, PhD na kuweza kuwawajibisha viongozi walioona wanawakosea. Sasa shida iliyotokea hii ikatafsiriwa kuwa wanataka vyama vingi, japo kwa swali mahususi majority walitaka kimoja kwa upande wa Tz bara, na discussion ikawa centered hapo tu bila kuangalia picha pana maoni?
Fernando Torres. Ile UEFA niliyashabikia ma Chelkenge. 2012/2013 Gareth Bale Gerard Martin RICARDO
Huyu dogo hakuwahi fikisha 50 ya Bible knowledge. Leo hii anadanganya watu mitandaoni. 2012/2013 Gareth Bale zamani outfit Gerard Martin RICARDO