Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa safari ya kueleke kwenye uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani
Kazi ya kuifanya nchi yetu kuwa kitovu cha biashara, usafirishaji na uzalishaji wa bidhaa, inahitaji uwekezaji na miundombinu bora. Kazi hiyo tunaendelea kuifanya kwa weledi ambapo, leo mkoani Pwani nimezindua Bandari Kavu ya Kwala, usafirishaji wa mizigo kwa SGR kutoka Kwala
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2025.
MRADI WA URANI WALETA AJIRA NA MATUMAINI KWA WAKAZI WA SONGEA: SCOLASTICA
Bi. Scolastica Ernest Lole ni miongoni mwa wananchi walioguswa moja kwa moja na fursa za ajira kupitia mradi wa uchimbaji wa madini ya urani unaoendeshwa na Kampuni ya Mantra Tanzania Ltd. Akiwa mfanyakazi
Heri ya Sikukuu ya Nanenane kwetu sote.
Leo tunapoadhimisha Sikukuu ya Nanenane, tuna kila sababu ya kujipongeza kwa hatua kubwa ambazo tumepiga kwenye sekta za kilimo, mifugo na uvuvi. Kwa upekee, mwaka huu tumeweka rekodi nyingine ambapo nimezindua Maabara Kuu ya Kilimo,
Mapema leo katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, Dodoma, nilipoambatana na Mgombea Mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ahsante kwa wanachama wote wa Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakazi
RAIS SAMIA ATIMIZA NDOTO YA MIAKA 50 YA TAIFA KUWA NA UMEME WA UHAKIKA KUTOKA BWAWA LA MWALIMU NYERERE.
Rasmi mashine zote 9 za kuzalisha umeme Megawatts 2,115 zimekamilika, ndoto ya miaka 50 Rais Samia ameitimiza kwa miaka 4 tu kutoka kuukuta mradi ukiwa chini ya 33% hadi
Ninawapongeza Klabu ya Simba na Wanasimba kwa tamasha zuri la Simba Day 2025. Ninawatakia kila la kheri katika msimu ujao kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa.