Zee La Kritiksi ๐ŸŽป๐ŸŽง (@_kilongi) 's Twitter Profile
Zee La Kritiksi ๐ŸŽป๐ŸŽง

@_kilongi

Towards Different Standards || Music Addicted || Poems Writer || Keep Praying And Trust God || God Did His Best To Me || Up For The Money.

ID: 1770869348153860097

calendar_today21-03-2024 17:46:07

11,11K Tweet

538 Followers

591 Following

Bukujero Elfujeroโ€ฆ!!! (@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Kuna mda unatongoza demu anakukataa hadi mwenyewe unajisemea kimoyomoyo โ€œI deserve kukataliwa na hii pisiโ€ฆโ€ ๐Ÿ˜‚

Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Kipindi hii ngoma inatoka Verse ya pili pale Mwanzoni, kwa akili zangu Timamu....nilikuwa nikiimba ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ "Weka Tigo na Voda" ๐Ÿ˜‚ Beat la hii ngoma ๐Ÿ”ฅ

Kipindi hii ngoma inatoka Verse ya pili pale Mwanzoni, kwa akili zangu Timamu....nilikuwa nikiimba ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ

"Weka Tigo na Voda" ๐Ÿ˜‚

Beat la hii ngoma ๐Ÿ”ฅ
Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Lile kundi la "Mo Music na Basi Nenda" ama "Benson na Hauzimi" ama tuseme "TopC na Ulofa" huyu mwanetu nae anaikingia ๐Ÿ˜‚ Moja kati ya ngoma ambayo Korasi yake ilikuwa ikiimbwa na kila mtu ila kila mmoja kwa Lugha anayoijua yeye PANDA PANDA PANDA PANDA ........Rrrrraraaaaaaa๐Ÿ”ฅ

Lile kundi la "Mo Music na Basi Nenda" ama "Benson na Hauzimi" ama tuseme "TopC na Ulofa" huyu mwanetu nae anaikingia ๐Ÿ˜‚

Moja kati ya ngoma ambayo Korasi yake ilikuwa ikiimbwa na kila mtu ila kila mmoja kwa Lugha anayoijua yeye 

PANDA PANDA PANDA PANDA ........Rrrrraraaaaaaa๐Ÿ”ฅ