Uwaga nawapelekea food pale Uhuru Gardens, seeing men sleep hivi..walahi wanalilia food,uwa nikishawapa chakula naenda mahali kwanza nilie ndio niendelee na shughuli zangu zengine,,life is very tough aki,inauma sana kuona mwanaume analia ju ya kuwa njaa ๐๐ฅน