AMOSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_amosirichard) 's Twitter Profile
AMOSI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@_amosirichard

||Content Creator; /Believer.
||Professional Political Scientist&Analyst,
|| District Secretary for CCM Youth Wing at Kinondoni.

ID: 1439870473756676096

calendar_today20-09-2021 08:34:19

8,8K Tweet

889 Takipรงi

612 Takip Edilen

Peter Msigwa (@msigwapeter) 's Twitter Profile Photo

5 REASONS NOT TO QUIT: 1. Youโ€™re closer than you think โ€“ (Gal. 6:9) 2. Every storm eventually passes โ€“ (Ps. 30:5) 3. Godโ€™s plan is still working โ€“ (Jer. 29:11) 4. Strength grows in hard times โ€“ (Isa. 41:10) 5. Your story will inspire others โ€“ (Rom. 8:28

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿš† Tanzania & Burundi break ground on a $2.15B cross-border railway. - 240 km line: Uvinza (TZ) โ†’ Musongati (BI) - Cuts Darโ€“Bujumbura cargo trips from 96 hrs ๐Ÿš› to 20 hrs ๐Ÿš„ - Freight cost slashed from $3,800 โ†’ $2,000 per container - Capacity: 3,000 tons per train vs 30 tons

๐Ÿš† Tanzania & Burundi break ground on a $2.15B cross-border railway.

- 240 km line: Uvinza (TZ) โ†’ Musongati (BI)
- Cuts Darโ€“Bujumbura cargo trips from 96 hrs ๐Ÿš› to 20 hrs ๐Ÿš„
- Freight cost slashed from $3,800 โ†’ $2,000 per container
- Capacity: 3,000 tons per train vs 30 tons
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_zack255) 's Twitter Profile Photo

Kwa wiki ijayo dunia nzima itashuhudia na kujifunza somo la siasa kutoka kwa Profesa wa Siasa na Mgombea wa kiti cha Urais kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan pale katika jimbo la Kawe. Ni ufunguzi wa Kampeni za uchaguzi Mkuu wa OKTOBA 29, 2025.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025.

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025 kwa ajili ya kushiriki kwenye Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa