Lingz (@_slimshady31) 's Twitter Profile
Lingz

@_slimshady31

I just say whatever I want to whoever I want
Whenever I want, wherever I want, however I want.
However, I do show some respect to few.

ID: 1376072526758039554

calendar_today28-03-2021 07:24:23

9,9K Tweet

380 Followers

294 Following

Dean Wingrin (@deanwingrin) 's Twitter Profile Photo

Whilst not infallible, an anti-drone capability is a must have for any defence force. Something the SANDF is/should be looking at very seriously.

Joel Ntile (@joelntile) 's Twitter Profile Photo

Max Lingz Nico Minde, PhD Sasa ukipitia maoni ya Ripoti ya Nyalali wananchi walitaka plural democracy sio tu demokrasia iliyojibana kwa vyama vingi tu. Waligusia suala la uhuru wa vyama vya wafanyakazi, waligusia suala la sauti za wakulima. Walitaka mfumo utakao guarantee wao kuwa na nguvu zaidi..

Joel Ntile (@joelntile) 's Twitter Profile Photo

Max Lingz Nico Minde, PhD na kuweza kuwawajibisha viongozi walioona wanawakosea. Sasa shida iliyotokea hii ikatafsiriwa kuwa wanataka vyama vingi, japo kwa swali mahususi majority walitaka kimoja kwa upande wa Tz bara, na discussion ikawa centered hapo tu bila kuangalia picha pana maoni?

Lingz (@_slimshady31) 's Twitter Profile Photo

Jipo lipo wazi ni Mtazamo. Lakini namna watu wameizungumza Hii leo kiwasiwasi hapa nayo inanipa mashaka “ Majibaba yenye uwezo kwenye Rap na hata kifedha”

Lingz (@_slimshady31) 's Twitter Profile Photo

Nidhamu ya kweli inakaa kwenye katiba? Katiba ya sasa inasemaje?, unafahamu kuwa hata kwa sheria zetu hizi za sasa uzembe ni kosa kisheria.

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

Apumzike kwa amani Mangi wetu. Sio yule MNEC wa Mara, Mjumbe wake anatekwa na kupotea yapata miezi mitano sasa, yeye yupo kimya, msaada wake ni upi sasa?