Heri nifanye kazi na morio mtiaji kuliko dem mtiaji juu kikiumana Morio nakuvunja alafu naacha kazi,no one will look for me Lakini dem unamchuna tu iviii polisi wanakutafuta hadi chini ya mawe alafu utaskia 'Alikua ananitaka nikamkataa so he tried to r3ape me and I refused'
Hapo kujitoa inakuanga ngumu sana, wacha nideal na fellow men hata kusolve differences is easier. Dem atakushoutia kama mtoto wake na ni kitu tu kidogo you can just solve tu kama watu wazima