G (@_giftapril_) 's Twitter Profile
G

@_giftapril_

New day, new chances. Keep showing up!🩶

ID: 1876648802616041472

calendar_today07-01-2025 15:15:32

1,1K Tweet

66 Takipçi

102 Takip Edilen

stressed (@onlystresstoday) 's Twitter Profile Photo

PLEASE give yourself the chance to meet someone new instead of going back to a person from your past who didn’t value you when they had you

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Usisubiri kutiwa moyo, tafuta namna ya kujitia moyo mwenyewe kwa sababu kila mtu ana matatizo yake ni wachache wanaoweza kutenga muda wao kukupa ujasiri wa maisha

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears♥️ Ni week nyingine tuliyo barikiwa kuendelea kuwa hai tumshukuru Mungu🙏 Mpango wetu ni ule ule Dua bidii na imani Namwomba Mungu asikunyime riziki katika utafutaji wako akuepushe na mabaya na kuzilinda hatua zako Iwe week ya baraka kwako uone mema🙏