Mara nyingi momentum inayopelekeaga shft kwenye 4h, huwa inafifishwa na daily structure so, hiki kitu huwa ni signal kuwa muda wakuaanza kurudi kukamilisha principle za shift ambayo imeshatokea kwenye h4๐. same applies shift ikitokea kwenye 1h to h4 or 1D to weekly structureโ