11 hours ago
Kuna jina la mtoto ukilisikia unajua mama ndio kalitoa 😁😁
12 hours ago
Kati ya hawa watu nani unaona ana sura ya kitapeli? 😁😁
4 days ago
Unaumwa ugonjwa usiojulikana unaamua Kumeza ARVs afu unapona😁😁
1 month ago
Erosion
6 days ago
Toka nje nimefika😁😁
Kutoka kuwa mshauri wa Rais, siasa kapanda kashuka?
1 week ago
Hii Mic imefanya nini mbona inatrend? 😂😂
Tetesi za kurudi kwa Gonzalez zilivo moto kunafanya ionekane kama yanga hawajachukua kombe😁😁
2 weeks ago
Zamani nilikuwa najua wanaokula hivi mdomoni wana mchuzi tayari😃😃
Yanga ikifika level Ya Machester itakuwa ishacheza ligi ya Uingereza 😂😂
5 days ago
Upewe kitu cha kwanza kukiona kwenye hii picha😁😁
Ukimuona huyu muheshimiwa nini kinakujia akilini? 😎😎
ILa mwana anaishi pazuri😁😁
2 days ago
Wakati mkiendelea kuishi kwa Amani na upendo na Mkeo kwenye Ndoa Jua unaeza kuwa unalea na watoto wa wanaume wenzio😁😁
Unakaa unasimama? 😁😁
Kuna mtu ana GPA Ila hajui Kenge kwa kiingereza anaitwaje? 😆😆
Hii Nchi ni Ngumu sana😁😁
CHUKUA HIIAfrika kula mchana ni gharama kuliko usiku😁😁
Hii Nchi Ngumu sana😁😁
Kirefu cha hii plate number ni nini? 😁😁