Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile
Women in Climate Tanzania

@womeninclimate_

Fueling Women for Climate Action in Tanzania |Grassroot Engagement |Green Communities🌱|#mwanamkethabiti Hub ♻️ Empower Women, Save The Earth!

ID: 1639771355653500931

calendar_today25-03-2023 23:29:04

211 Tweet

77 Takipçi

214 Takip Edilen

HabariLeo (@habarileo) 's Twitter Profile Photo

MWANADIPLOMASIA kijana kutoka Tanzania, Sylviabay Kijangwa amechaguliwa kuwa mjumbe wa WiseYouth, chini ya Baraza la Wazee Afrika lililopo chini ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika akiiwakilisha Kanda ya Afrika Mashariki. Mtanzania huyo ambaye pia ni mwanaharakati

MWANADIPLOMASIA kijana kutoka Tanzania, Sylviabay Kijangwa amechaguliwa kuwa mjumbe wa WiseYouth, chini ya Baraza la Wazee Afrika lililopo chini ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika akiiwakilisha Kanda ya Afrika Mashariki.

Mtanzania huyo ambaye pia ni mwanaharakati
Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

3. Katika mjadala wa ajenda za COP29, viongozi wa nchi, serikali, taasisi za kimataifa na washirika wao wameendelea kujadili viwango vya utekelezaji wa miradi ya kaboni chini ya Kifungu cha 6.4 cha Mkataba wa Paris. 1/2👇 #Elimikawikiendi

Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

5. Katika mkutano wa COP27 mwaka 2022, nchi wanachama zilikubaliana kuanzisha Mfuko wa Upotevu na Uharibifu ili kusaidia mataifa yaliyoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi. 1/2 👇 #ElimikaWikiendi

Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

Hata hivyo, katika mkutano wa COP29, majadiliano yalihusu utekelezaji wa mfuko huo, ikiwemo masuala ya uendeshaji, vyanzo vya fedha, na jinsi msaada utakavyotolewa kwa nchi husika. 2/2 #ElimikaWikiendi

Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

6. Lakini pia katika Siku ya Jinsia ya #COP29, tarehe 21 Novemba viongozi wamejadili umuhimu wa mipango ya kijinsia na uwazi ili kuhakikisha kuwa wanawake wanapata rasilimali zinazowawezesha kukabiliana na changamoto za hali ya hewa. #Elimikawikiendi

6. Lakini pia katika Siku ya Jinsia ya #COP29, tarehe 21 Novemba viongozi wamejadili umuhimu wa mipango ya kijinsia na uwazi ili kuhakikisha kuwa wanawake wanapata rasilimali zinazowawezesha kukabiliana na changamoto za hali ya hewa.
#Elimikawikiendi
Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

7. UNICEF imeripoti kuwa mabadiliko ya tabianchi yanadhuru ustawi wa watoto bilioni moja kwa kuwaweka katika hatari ya magonjwa ya kuambukiza, kukwamisha elimu yao na kuwanyima lishe bora wanayohitaji ili wakue vizuri. #Elimikawikiendi

7. UNICEF imeripoti kuwa mabadiliko ya tabianchi yanadhuru ustawi wa watoto bilioni moja kwa kuwaweka katika hatari ya magonjwa ya kuambukiza, kukwamisha elimu yao na kuwanyima lishe bora wanayohitaji ili wakue vizuri.
#Elimikawikiendi
Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

8.Tanzania ktk #COP29 imeonesha nia ya kuchangia katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kutunza na kuimarisha eneo lake la hkt mil 48.1 za hifadhi ya misitu yenye uwezo wa kuhifadhi kaboni sawa na 2% ya jumla ya kaboni duniani #Elimikawikiendi

Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

9. Tanzania inatekeleza mkakati wa kupikia wa nishati safi salama na nafuu pamoja na mpango wa usaidizi wa kupikia Nishati safi wa wanawake wa Pan-African ambao unahitaji usaidizi wa kifedha wa takriban dola za kimarekani bilioni 4 kila mwaka ifikapo 2030. #Elimikawikiendi

9. Tanzania inatekeleza mkakati wa kupikia wa nishati safi salama na nafuu pamoja na mpango wa usaidizi wa kupikia Nishati safi wa wanawake wa Pan-African ambao unahitaji usaidizi wa kifedha wa takriban dola za kimarekani bilioni 4 kila mwaka ifikapo 2030.
#Elimikawikiendi
Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

10. Maazimio ya COP29 yamesisitiza haja ya mshikamano wa kimataifa ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi huku nchi tajiri zikiimizwa kuchukua jukumu kubwa Zaidi katika kuunga mkono nchi maskini. #Elimikawikiendi

Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

COP16 is underway in Riyadh, Saudi Arabia, under the theme ‘Our Land. Our Future.’ Key discussions include land tenure, innovative restoration solutions, and gender-responsive climate action. #COP16 #LandRestoration #DroughtResilience #ourlandourfuture

COP16 is underway in Riyadh, Saudi Arabia, under the theme ‘Our Land. Our Future.’

Key discussions include land tenure, innovative restoration solutions, and gender-responsive climate action.

#COP16 #LandRestoration #DroughtResilience #ourlandourfuture
Women in Climate Tanzania (@womeninclimate_) 's Twitter Profile Photo

We joined regional changemakers to strategize on increasing public finance for agroecology through digital advocacy & social movements. From hands-on training to policy-focused action plans we’re driving change for a sustainable, just future! #womeninclimatetanzania

We joined regional changemakers to strategize on increasing public finance for agroecology through digital advocacy & social movements. From hands-on training to policy-focused action plans we’re driving change for a sustainable, just future!

#womeninclimatetanzania