• (@whatdennisdoes) 's Twitter Profile

@whatdennisdoes

I retweet, quote and dissapear for two days

ID: 1169224573063184385

calendar_today04-09-2019 12:24:08

4,4K Tweet

243 Followers

243 Following

𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊  (@makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

Leo mwenyekiti Lissu anafikisha mwaka toka alipokamatwa kwa kesi ya kubumba, cha kushangaza kila akiibana jamhuri mahakamani wanatafuta sababu ya kuchelewesha maendeleo ya kesi ili aendelee kusota magereza, pamoja na yote Mungu yu nasi na tutashinda.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Mwaka mzima wa mateso, maumivu na uchungu. Mwaka mmoja wa kulala sakafuni. Mwaka mmoja wa kulala chumba kisicho na hewa ya kutosha. Mwaka mzima wa kula chakula usichojua kina sumu au la. Mwaka wa bila haki Mahakamani. Mwaka wa ushindi na mwanzo mpya. Mungu ni mwema🙏🏽

Mwaka mzima wa mateso, maumivu na uchungu.

Mwaka mmoja wa kulala sakafuni.

Mwaka mmoja wa kulala chumba kisicho na hewa ya kutosha.

Mwaka mzima wa kula chakula usichojua kina sumu au la.

Mwaka wa bila haki Mahakamani.

Mwaka wa ushindi na mwanzo mpya.

Mungu ni mwema🙏🏽
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒 (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

Ukinunua kiatu chochote pichani nakupa sandals pea moja bure. Ukihitaji sandals peke yake nitakupa kwa Tsh.15,000 kwa pea moja. Ushindwe wewe tajiri. Ofa ya mwisho wa mwezi.

Ukinunua kiatu chochote pichani nakupa sandals pea moja bure.

Ukihitaji sandals peke yake nitakupa kwa Tsh.15,000 kwa pea moja. Ushindwe wewe tajiri.

Ofa ya mwisho wa mwezi.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Tulianza October 2025 na Kutuma simu piece moja, Charger moja, protector na Cover Dubai-to-Africa. Leo tunatuma Box Moja au Mbili kwa Week. Ngumu sana maana inabidi uwaeke watu na wakuamini. Kuna siku tutatuma Box 10 au 100 ama 1000 kila siku. Ahsante kwa kuwa sehemu ya hii