WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profileg
WateteziTV

@WateteziTV

WATETEZI TV is a Not-For-Profit online Tv under the Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC).
Watetezi Tv operates in lieu of all applicable laws.

ID:1085851244680351745

linkhttp://www.youtube.com/c/WateteziTV calendar_today17-01-2019 10:48:05

11,7K Tweets

26,6K Followers

524 Following

WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Wakili Yonas Masiaya aliyekuwa anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa kile kinachosemwa ni kutumia picha kumchafua mkuu wa mkoa huo Paul Makonda tangu Aprili 30, 2024 na kuachiliwa May 01, 2024 ameripoti tena Polisi mnamo 02 May 2024.

Wakili Masiaya ameripoti kituo

Wakili Yonas Masiaya aliyekuwa anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa kile kinachosemwa ni kutumia picha kumchafua mkuu wa mkoa huo Paul Makonda tangu Aprili 30, 2024 na kuachiliwa May 01, 2024 ameripoti tena Polisi mnamo 02 May 2024. Wakili Masiaya ameripoti kituo
account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Ombi rasmi limetolewa kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Mike Johnson kukubali Rais wa Kenya William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge hilo.

Katika barua iliyoandikwa na mwanachama wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Kigeni Gregory Meeks na Mwenyekiti wa Kamati

Ombi rasmi limetolewa kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Mike Johnson kukubali Rais wa Kenya William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge hilo. Katika barua iliyoandikwa na mwanachama wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Kigeni Gregory Meeks na Mwenyekiti wa Kamati
account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Watoto wanaosoma katika shule ya msingi Kitangiri wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza wametajwa kuwa hatarini kupotoka kimaadili sambamba na kukabiliwa na hatari ya kuathirika kiafya kutokana na kuchezea mipira iliyotumika katika biashara ya ngono inayoendelea kufanyika pembezoni mwa

account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na ofisi ya mtakwimu mkuu wa serikali Zanzibar April 2024 juu ya Ukatili na udhalilishaji wa kijinsia Zanzibar, zimeonesha kuwa ndani ya mwezi Machi mwaka huu matukio 125 yameripotiwa huku waathirika wengi kati ya hao wakiwa ni watoto wa kike.

Shirikisho la vya vya wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Limewasilisha changamoto nane mbele ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi likiomba kufanyiwa kazi ili kuongeza ufanisi kwa wafanyakazi.

Wakati Zatuc ikiwasilisha changamoto hizo, serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetenga

Shirikisho la vya vya wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Limewasilisha changamoto nane mbele ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi likiomba kufanyiwa kazi ili kuongeza ufanisi kwa wafanyakazi. Wakati Zatuc ikiwasilisha changamoto hizo, serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetenga
account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Isdory Mpango amesema Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza awaambie watanzania kuwa endapo hali ya uchumi wa Taifa itaendelea kuwa stahimilivu na kudumu kama ilivyo sasa basi wafanyakazi wawe na matumaini kwamba atasema jambo

Wakili Yonas Masiaya aliyekuwa anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Arusha kile kinachosemwa ni ktumia picha kumchafua mkuu wa mkoa huo tangu Aprili 30, 2024 ameachiliwa kwa dhamana.

Kwa mujibu wa Wakili wake aitwaye Ngeeyan Oloibormunyei Laizer, Wakili Masiaya ameachiliwa 01

account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani kitendo cha cha Jeshi la Polisi kumkamata na kumnyima dhamana wakili Yonas Masiaya tangu jana Aprili 30, 2024. Wakili Masiaya alikamatwa jana jioni kwa tuhuma za kusambaza picha ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye

Wizara ya katiba na sheria imesema itaendelea kulinda haki za Binadamu katika maeneo yote ikiwa ni Pamoja na ndani nan je ya nchi kwa kushirikiana na nan chi mbalimbali ikiwemo Urusi ambao viongozi wake kutoka ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka imefika nchini katika kuendeleza

Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jaji Sinde Warioba ametahadharisha juu ya kuendelea kupungua kwa idadi ya wanaopiga kura ikilinganishwa na wale waliojiandikisha katika chaguzi mbalimbali akitolea mfano uchaguzi mkuu wa 2020.

Mh. Jaji Warioba amesema

Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jaji Sinde Warioba ametahadharisha juu ya kuendelea kupungua kwa idadi ya wanaopiga kura ikilinganishwa na wale waliojiandikisha katika chaguzi mbalimbali akitolea mfano uchaguzi mkuu wa 2020. Mh. Jaji Warioba amesema
account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Kuu) Dodoma imesimamisha kusikilizwa kwa mashauri mawili (2) ya kinidhamu yaliyoko kwenye Kamati ya Maadili ya Mawakili dhidi ya Wakili Peter Michael Madeleka mpaka hapo shauri la Kikatiba Namba 7817 la mwaka 2024 litakaposikilizwa na kutolewa

Watetezi wa haki za binadamu wametakiwa kuzingatia umakini wa utunzaji wa taarifa za kazi zao kwenye vifaa janja kama vile simu na kompyuta ili kuimarisha ulinzi wa taarifa hizo na usalama wao kwa ujumla.

Akizungumza na watetezi wa mashinani walioshiriki mafunzo yaliyotolewa na

Watetezi wa haki za binadamu wametakiwa kuzingatia umakini wa utunzaji wa taarifa za kazi zao kwenye vifaa janja kama vile simu na kompyuta ili kuimarisha ulinzi wa taarifa hizo na usalama wao kwa ujumla. Akizungumza na watetezi wa mashinani walioshiriki mafunzo yaliyotolewa na
account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Nukuu ya leo kutoka kwa Mratibu kitaifa Wa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa.

Olaigwanani-Olengurumwa, Adv

Nukuu ya leo kutoka kwa Mratibu kitaifa Wa Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa. @OlengurumwaO
account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Washiriki wa mafunzo ya kuwanoa watetezi wa haki za binadamu wa mashinani, yanayotolewa na Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC) kuanzia jana 29 Aprili 2024 na kumalizika leo 30 Aprili 2024, wameeleza kunufaika na mafunzo hayo kwani yamewapa mbinu mpya za

Wakili wa kujitegemea nchini Wakili Peter Madeleka ametoa kauli kuhusu wale anaodai wana mpango mbaya dhidi yake yeye Pamoja na Wakili Boniface Mwabukusi mpango unaotajwa kuwa ni wa kuwaondolea Uwakili wao.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X Wakili MAdeleka

Wakili wa kujitegemea nchini Wakili Peter Madeleka ametoa kauli kuhusu wale anaodai wana mpango mbaya dhidi yake yeye Pamoja na Wakili Boniface Mwabukusi mpango unaotajwa kuwa ni wa kuwaondolea Uwakili wao. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X Wakili MAdeleka
account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa Maendeleo Shirika la PINGOS FORUM, PWC,na UCRT Wafungua Kongamano la wanawake kutoka Wilaya saba lenye Lengo la kubadilishana uzoefu na kuongeza harakati na kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii kwa kulinda Usawa na kuleta maendeleo ya pamoja.

Washiriki wa Kongamano

account_circle
WateteziTV(@WateteziTV) 's Twitter Profile Photo

Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC) umezindua rasmi mafunzo ya siku mbili kwa wadau na waharakati wa haki za binadamu yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kufanya kazi za ulinzi na utetezi wa haki za binadamu kwa weredi.

Mafunzo hayo yamezinduliwa rasmi leo

Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC) umezindua rasmi mafunzo ya siku mbili kwa wadau na waharakati wa haki za binadamu yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kufanya kazi za ulinzi na utetezi wa haki za binadamu kwa weredi. Mafunzo hayo yamezinduliwa rasmi leo
account_circle