WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile
WateteziTV

@watetezitv

WATETEZI TV is a Not-For-Profit online Tv under the Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC).
Watetezi Tv operates in lieu of all applicable laws.

ID: 1085851244680351745

linkhttp://www.youtube.com/c/WateteziTV calendar_today17-01-2019 10:48:05

13,13K Tweet

28,28K Takipçi

539 Takip Edilen

WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Pichani, baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa makini wakiisoma na kuipitia Ilani ya Uchaguzi ya chama chao kwa mwaka 2025. Mkutano huo, unaofanyika leo Ijumaa, Mei 30, 2025 jijini Dodoma, umehudhuriwa na viongozi wakuu wa chama, wanachama,

Mbunge na Muwakilishi wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs), Mhe. Neema Lugangila, amekutana na kusalimiana na Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wakili Onesmo Olengurumwa, ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC)

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipongeza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mwaka 2025–2030 kwa kuzingatia kwa kiwango kikubwa mapendekezo ya Asasi za Kiraia (Azaki), hususan katika maeneo ya Utawala Bora, Haki za Binadamu, na

WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi watatu Mary Matogolo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ryner Mkwawili, mwanafunzi wa Chuo cha Ardhi, Dar es Salaam na Asha Juma mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu leo Mei 30, 2025, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kwa madai ya kumdhalilisha

WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

"Ndugu Watanzania, ni lazima turejeshe demokrasia ya kweli kwa sababu bila uchaguzi wa haki, hakuna maendeleo ya kweli, uchaguzi kama tunavyojua ni kipindi kinachoweza kulijenga au kulibomoa Taifa, kuna dalili nyingi kuwa mshikamano wa Taifa letu umeanza kuyumba, kuomba ridhaa ya

Wanafunzi watatu kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali Dar es salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka nane, ikiwemo kutishia kuua, Washtakiwa hao ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), Mary Matogoro (22), Mwanafunzi

Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai

Katika picha iliyopigwa muda mfupi baada ya uwasilishaji rasmi wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mwaka 2025–2030, Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), alionekana akishikana mkono na Prof.

Karibu katika matangazo ya moja kwa moja kutoka viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anakabidhiwa tuzo maalumu na Bunge. 👉🏽 Bofya kiunganishi hapo chini ili uungane nasi moja kwa moja kupitia YouTube kushuhudia

WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ni miongoni mwa wageni mashuhuri waliohudhuria hafla ya utoaji Tuzo Maalumu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo imefanyika

Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ni miongoni mwa wageni mashuhuri waliohudhuria hafla ya utoaji Tuzo Maalumu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Hafla hiyo imefanyika

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya hafla maalum katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma kwa ajili ya kumtunuku tuzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Tuzo hiyo imetolewa kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Tanzania imeendelea kuwa nchi ya utulivu na amani kutokana na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unaoongozwa na falsafa ya 4R. Akizungumza katika viunga vya Bunge jijini Dodoma wakati wa hafla ya

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Tanzania imeendelea kuwa nchi ya utulivu na amani kutokana na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unaoongozwa na falsafa ya 4R.

Akizungumza katika viunga vya Bunge jijini Dodoma wakati wa hafla ya
WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kauli ya kuelezea hisia zake alipokuwa akipokea tuzo maalum kutoka kwa Bunge la Tanzania, akielezea hali ngumu aliyokutana nayo alipokabidhiwa madaraka ya juu ya nchi mwaka 2021, kufuatia kifo cha aliyekuwa

WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Wakazi wa Msaranga, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro wameingia kwenye mshtuko mkubwa kufuatia mauaji ya wanandoa wawili, Geofrey Anael Mota (60) na Blandina Felix Ngowi (53), waliouawa ndani ya nyumba yao ya kupanga usiku wa Mei 29, 2025, huku kijana wao wa kiume akitoweka

Na Herieth Molla, Iringa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kanda ya Iringa, kimetangaza kuingilia kati sakata la kuvunjwa kwa nyumba za familia kadhaa katika eneo la Don Bosco, Manispaa ya Iringa, kufuatia malalamiko kuwa ubomoaji huo haukufuata taratibu za kisheria. Hatua

Na Herieth Molla, Iringa

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kanda ya Iringa, kimetangaza kuingilia kati sakata la kuvunjwa kwa nyumba za familia kadhaa katika eneo la Don Bosco, Manispaa ya Iringa, kufuatia malalamiko kuwa ubomoaji huo haukufuata taratibu za kisheria.

Hatua
WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, leo amepokea rasmi taarifa ya utekelezaji wa kazi ya Mheshimiwa Neema Lugangira (Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM, kundi la NGOs 2020–2025) kama mwakilishi wa Asasi za Kiraia