Vidah Nyangasa (@vidahnyangasa) 's Twitter Profile
Vidah Nyangasa

@vidahnyangasa

ID: 1930750735

calendar_today03-10-2013 13:21:57

69 Tweet

19 Takipçi

22 Takip Edilen

Paul Atsu (@paulatsu2323) 's Twitter Profile Photo

Congratulations to #Tanzania & Carlos for organising a very successful training for relevant country level stakeholders on #KM &the Malabo targets last week. The enthusiasm in the South in advancing the #KM4AgD is commendable. Benjamin Abugri Added 👌

Congratulations to #Tanzania &amp; <a href="/CCARDESA/">Carlos</a> for organising a very successful training for relevant country level stakeholders on #KM &amp;the Malabo targets last week. The enthusiasm in the South in advancing the #KM4AgD is commendable. <a href="/BAbugri/">Benjamin Abugri</a> Added 👌
Paul Atsu (@paulatsu2323) 's Twitter Profile Photo

we have been documenting the effectiveness of traditional practices by indigenous farmers , while also working on issues related to sustainability and development #YouthInAg #agroecology #ClimateActionNow #ClimateJustice #KM4AgD

TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Mr. Deogratius Mark akiwaonyesha wageni hao namna ya kutambua magonjwa mbalimbali mfano Cassava Mosaic Disease (CMD) na Cassava Brown Streak Disease (CBSD) kwenye zao la mihogo na namna ya kudhibiti magonjwa hayo.

Meneja wa TARI Mikocheni Dkt. Fred Tairo akiwa na wageni hao ofisini kwake kwa ajili ya kufahamiana na kutambua lengo la ujio wao kituoni hapo.

Victoria Mbigidde (@victoriambigidd) 's Twitter Profile Photo

The conference will also strength research and develop action on topical issues in African agriculture to ensure productivity and competitiveness in the sector that engages a larger proportion of the coming population on the continent.

TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

TARI -Mikocheni kwa kushirikiana na Mradi wa "FRESH" wamegawa mbegu zilizotafitiwa za mbogamboga (mchicha, nyanya chungu na mnavu) kwa wakulima minazi Wilaya za Bagamoyo, Ilala na Kigamboni ili kuhamasisha kilimo mseto. Zoezi linatarajiwa kutamatishwa Jumatatu Mkuranga,Pwani.

Vidah Nyangasa (@vidahnyangasa) 's Twitter Profile Photo

Africa depends on rainfed agriculture hence the effort should be in investing the capacity so that we feed Africa and the world at large#ccardesa#AASW8#KM4AgD

Africa depends on rainfed agriculture hence the effort should be in investing the capacity so that we feed Africa and the world at large#ccardesa#AASW8#KM4AgD
TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Kutoka Banda la TARI Katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es Salaam leo Julai 01.2023 kutana na Watafiti upate elimu na kanuni Bora za Kilimo Katika mnyororo mzima wa thamani, TARI tupo hema la Katavi. @tzagriculture

Kwa haya na mengine Mengi fika banda la TARI lililopo Katika hema la Katavi Katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es Salaam kwenye Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara @tzagriculture Hussein M Bashe

TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Pichani ni Wadau wakipata maelezo kuhusu Teknolojia mbalimbali Kutoka kwa Watafiti wa TARI-Mikocheni zinazopatikana Katika banda la TARI Kwenye Maonesho ya 47 yanayofanyika Viwanja vya Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.@tzagriculture

Julai 10,2023, TARI bado tupo Katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa tunapatikana hema la Katavi fika ujifunze Teknolojia Bora za Kilimo.@tzagriculture

Elizabeth Asiimwe (@elizabethasiimw) 's Twitter Profile Photo

113 days left to the 6th Africa-wide Agricultural Extension Week. Date: 5-11 November 2023 📍Abuja, Nigeria 🇳🇬 Hosted by African Forum For Agricultural Advisory Services. , Nifaas in collaboration with Nigeria's Federal Ministry of Agriculture and Rural Development. #AAEW2023

113 days left to the 6th Africa-wide Agricultural Extension Week. 

Date: 5-11 November 2023
📍Abuja, Nigeria 🇳🇬

Hosted by <a href="/afaasinfo/">African Forum For Agricultural Advisory Services.</a> , <a href="/Nifaas2/">Nifaas</a> in collaboration with Nigeria's Federal Ministry of Agriculture and Rural Development.
 
#AAEW2023
TARI Tanzania official page (@tanzaniatari) 's Twitter Profile Photo

Watafiti Kutoka TARI, wakitumia mashine ya kupandia Mpunga yenye uwezo wa kupandikiza ekari moja kwa dakika 90,Watafiti hao wako ziara ya kimafunzo nchini India kuongeza ujuzi wa teknolojia ya kilimo Shadidi kwenye zao la Mpunga na kujifunza Klinik ya mimea.

Mkuu wa wilaya ya Musoma Dr. Alfany Haule mwenye scaf ambaye amekuwa Mgeni rasmi ufunguzi wa maonesho ya Nanenane kanda ya ziwa Mashariki katika viwanja vya Nyakabindi ameipongeza TARI na kuagiza zana ya kupandia (Rafiki Planter) zizalishwe kwa wingi ili kumsaidia Mkulima.