Dr. Vincent Mashinji
@Vicent_mashinji
My Thoughts | Actions | and Path | SO BE ITπ
ID:709767457192411136
https://www.nsumbantale.com 15-03-2016 15:45:23
1,7K Tweets
108,0K Followers
6,7K Following
I talked to the future, and was very promising π
Someni sana enyi watoto wetu, Serikali inaweka sawa miundombinu.
#NsumbaNtale
Tukitaka maendeleo, tutofautishe mambo!
Simba imeshiriki CAF CL, yaani mashindano yanayohusisha MABINGWA
Yanga imeshiriki CAF CL ikashindwa na kuhamishiwa CAF CC, ili kusaka vipaji. Hata bingwa wa kombe la Azam hushiriki
Halafu tulinganisha Simba na Yanga - CAF!
#NsumbaNtale
AFCON
Ukiwa mchezaji bora zaidi, utashiriki mashindano haya (MCHEZAJI BORA)
CAF CL
Ukiwa na timu bora zaidi, utashiriki mashindano haya (TIMU BORA)
CAF CC
Ukijituma kwa bidii zaidi, utashiriki mashindani haya (BIDII ZAIDI)
Nawatakia maandalizi mema ya 2023/2024
#NsumbaNtale
Hongera sana @yangasc1935 kwa kutinga fainali ya CAFCC.
Hii ni hatua kubwa sana kwa soka la TFF TANZANIA
Nashauri timu ijipange vizuri zaidi isije ikapoteza fainali hii kama ilivyoitokea Simba Sports Club mwaka 1993 kwenye fainali ya TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC π na Stella Abijan
#NsumbaNtale
Ilikuwa mmoja atoke, wewe ni mnyama SIKUDAI CHOCHOTE!
Tujipange kwa ajili ya next season...
Hongera SIMBA!
#NsumbaNtale