Coast Contra(@VibeVolunteer) 's Twitter Profileg
Coast Contra

@VibeVolunteer

A Volunteer to any Vibe neccesary.

Bio isn't a CV.

ID:996098592552161280

calendar_today14-05-2018 18:43:05

28,9K Tweets

2,0K Followers

2,5K Following

Marscele Qynegar(@MarsceleQynegar) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ya wale waovu kila kukicha yanavunja imani ya uadilifu kaka,ufujaji ukifugwa Kwa mda mrefu hata wema wanaanza kuamini ni mwenendo wa maisha,mfumo umenajisiwa..

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Watu waadilifu kwenye hii nchi wapo, ni vile tuu wahuni ndio wameshika penye makali.
Hii dhana ya kuamini kwamba hakuna mtu mwenye uchungu na hii nchi ni hatari na ikemewe.

account_circle
๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ(@NshomileOg) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Na,hao ndio wanamkatisha tamaa mwema na kumfanya awe mhuni, mfano ngazi yako ya chini ukusanye pesa vizuri na kuzifikisha sehemu husika zikiwa salama alafu huko Hazina unaambiwa zimepigwa๐Ÿšฎ

account_circle
Lugombo(@LugomboMaKaNTa) 's Twitter Profile Photo

HIP HOP ni KULTURE ya watu Asili ya Kiafrika! Na ndiyo KULTURE inayoongoza kwa DISS SONGS! Hii inaashiria pia jambo fulani ambalo sio jema kwa watu wa Asili hii!

Ubinafsi na chuki, hatutaki tuendelee pamoja bali tunashindana kuendelea!

AFRIKA LIA!
Tu ๐Ÿ˜†

account_circle
Coast Contra(@VibeVolunteer) 's Twitter Profile Photo

Ila kwa malalamiko haya ya wananchi, iko siku watu wataandamana Automatically bila kuhamasishwa na Chadema wala mwanaharakati yoyote.

Serikali imeshatudharau wanafanya wanachojiskia.

Msisha gae Tar 24 waananchi wakajitokeza kusaidia jeshi kufanya usafi barabarani.

Ila kwa malalamiko haya ya wananchi, iko siku watu wataandamana Automatically bila kuhamasishwa na Chadema wala mwanaharakati yoyote. Serikali imeshatudharau wanafanya wanachojiskia. Msisha gae Tar 24 waananchi wakajitokeza kusaidia jeshi kufanya usafi barabarani.
account_circle
BLAQ-SON(@FREESPIRIT141) 's Twitter Profile Photo

Coast Contra Akilipwa utaona hizo hashtag anaupiga mwingi, mama yupo kazini na wana moja ya nyongeza inaitwa bolo limetembea..sijui huwa wanatembezewa na nani.

@VibeVolunteer Akilipwa utaona hizo hashtag anaupiga mwingi, mama yupo kazini na wana moja ya nyongeza inaitwa bolo limetembea..sijui huwa wanatembezewa na nani.
account_circle
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)(@JabirSaleh) 's Twitter Profile Photo

Tunaanza Msimu mpya wa Leo hii

One time for @mrnicetanzania on today ,moja ya wasanii waliotikisa Afrika ya Mashariki na majirani zake ..saa 8 kamili mchana wa Leo @efmtanzania

Cc @bongoflavahonors
Dj blackiie

Artwork : @nizosavage

Tunaanza Msimu mpya wa #Theclassicefm Leo hii One time for @mrnicetanzania on #Theclassicefm today ,moja ya wasanii waliotikisa Afrika ya Mashariki na majirani zake ..saa 8 kamili mchana wa Leo @efmtanzania Cc @bongoflavahonors @Djblackiie Artwork : @nizosavage
account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Jirani ana kiduka, akaamua kafungua na biashara ya Uwakala na mtaji wa 2M ana kama mwezi na nusu leo nimeenda kutoa oesa anasema hata kitu na hajui pesa ilipoenda.

Chuma ulete is real, kibongo bongo biashara yako usipoiusisha na kaushirikina kidogo kutoboa ngumu sana.

account_circle
Coast Contra(@VibeVolunteer) 's Twitter Profile Photo

Mambo ya kujadililinya muhimu haya, ila influenza wamepewa topics za kuanzisha mitandaoni kuelekea kwenye maandamano.

Inasikitisha kuwa hadi Hip Hop imehusishwa.

account_circle
M.D (๐Ÿ…จ)(@ReganTesha_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye mahusiano usiwe na kawaida ya 'kuhoji' sana, tumia njia ya 'Kuwasilisha taarifa' hasa pale unapoona mwenza wako amekosea.

Mfano: Badala ya kumwambia 'Kwanini jana ulipokuja ulizima simu?' Mwambie 'Unapokuja na kuzima simu sio vizuri, usifanye hivyo tena'.

Utaepuka mengi.

account_circle
Coast Contra(@VibeVolunteer) 's Twitter Profile Photo

Hii lazma ni Mjini hii,
apo unakuta yule 'Ninja Behind the Keyboard' anaekupigaga biti huku mtandaoni ndo kaagiza mojawapo. ๐Ÿ˜‚

account_circle