Vincent Matekwa
@vmatekwa
gmail
ID: 976185788328275969
20-03-2018 19:56:43
1,1K Tweet
501 Followers
92 Following
#KiQwetuAsubuhi Joseph Marwa QwetuRadio mastermogaka mogaka wewe nimutetezi ya wanaume shikilia hapo hapo ,kesho hata nitakupatia mrembo moja na konga yeye kama umefunguliwa jela.
#fridayQwetuKazini QwetuRadio Dorah Manya Awamu ya tatu nayo nayo,Dorah Rhumba ya kesho uwe tayari kufungua floor na mimi
#QwetuAsubuhi Kakind mastermogaka QwetuRadio Dorah Manya Niko ndani ya show pila samahani ,Rhumba ilifanya nikamuona mrembo wa bwani Kakinda lakini hakutingiza kiuno hata kama kina kazi yake.
#QwetuKazini Kakajp JNR QwetuRadio Awamu ya pili niko ndani kama kawa,mwanaume kamili nilazima uwe na watoto inje ya ndoa ,na hata kwa bibilia sio makosa,soma King Solomon .
#qwetuKazini QwetuRadio Kaka JP Junior Awamu ya bili niko ndani pila samahani ,,Team kibra,Evans Likhanga,Million Victor,Shehe Kahindi,Colo,Mbinda jumaa,Peter Githina wote wako locked 95.3 kauti no 47.
#qwetuasubuhi Dorah Manya mastermogaka QwetuRadio Massy ni musichana mdogo na hakujuwa vile alikuwa anafanya ,tena nifunzo kwa wahajiri wanaonyanyasa wafanya kazi hasa wasichana wadogo
#QwetuKazini QwetuRadio Kaka JP Junior Awamu ya bili nayo nayo niko locked CBD
#qwetuasubuhiTBT QwetuRadio mastermogaka Dorah Manya niko ndani ya TBT pila samahani,Teresa ukitaka kumaliza mogaka kimapenzi kabisa mwambiea akuje na nyasukuta na amwambiea amekuoa bibi wa bili.
#qwetuasubuhi TBT Dorah Manya QwetuRadio Point of correction Teresa,Is not Ann waiguru,her name is Mrs ,Kimotho.sasa ni bibi wa mwenyewe.
#KiQwetuFrday Dorah Manya QwetuRadio Doshi leo ni my birth day,nilibea cake ya my birth day.
#KiQwetuFriday QwetuRadio Kakind mastermogaka Dorah Manya Kakinda na Dorah naomba mnihimbia happy birth na kikwenu mogaka anyamaze
#QwetuKazini QwetuRadio Dorah Manya Awamu ya bili niko ndani kama kawa,hii census wana maswali nyingi sana kwa watoto na bibi,mpango wa kando,mbele ya watoto na bibi,A real man you don't disclose your life history in front of your family.watapomoa ndoa nyingi
#qwetuKazini Dorah Manya QwetuRadio Wanawake atakuhapisha ,wacha aonekane tuu,wanawake ni sumu wakifunguwa mtomo
#qwetuasubuhi Joseph Marwa QwetuRadio Awamu ya bili niko ndani ya show pila samahani,nawakilisha kauti no.22 ,95.3 Lima Chali
#qwetuasubuhi QwetuRadio Joseph Marwa Mimi nimehesabiwa lakini swali nyeti ilikuwa ni uko na watoto wangapi inje ya doa mbele ya family yangu?? Bibi alifurahiya sana lakini niliwaruka mita mia moja.
#QwetuKazini QwetuRadio Dorah Manya Wife material,mwenye ako na heshima kwa bwana,yule hangalii simu ya bwana,hakuna kuhuliza bwana mahali amelala kama amelala inje,kwa bed awe tayari any time you need her without condition.That is now the wife material .
#QwetuKazini QwetuRadio Dorah Manya Awamu ya bili nayo nayo hadi kieleweke,CBD 95.3 Ndio kusema kwa burutani
#qwetuasubuhi QwetuRadio Joseph Marwa Hapo sasa kwa Roger mila niko sawa ndio njia ya kufukuza baridi