profile-img
Umoja wa Mataifa

@UmojaWaMataifa

Akaunti rasmi ya Umoja wa Mataifa. Kwa amani, utu & usawa katika ulimwengu wenye ustawi.

calendar_today21-08-2009 20:15:32

34,4K Tweets

28,6K Followers

650 Following

Umoja wa Mataifa(@UmojaWaMataifa) 's Twitter Profile Photo

Kila siku, watu hufa au kupoteza viungo kwa kukanyaga mabomu ya ardhini, na wengi wao ni raia katika maeneo yaliyopata amani.

Jumanne ni fursa ya kuangazia haja ya dharura ya kutokomeza mabomu ya ardhini. un.org/en/observances… v UNMAS

Kila siku, watu hufa au kupoteza viungo kwa kukanyaga mabomu ya ardhini, na wengi wao ni raia katika maeneo yaliyopata amani. Jumanne #MineAwarenessDay ni fursa ya kuangazia haja ya dharura ya kutokomeza mabomu ya ardhini. un.org/en/observances… v @UNMAS #MineActionCannotWait
account_circle