Tunubu (@tunubu255) 's Twitter Profile
Tunubu

@tunubu255

Tunubu the African giant

ID: 305450550

calendar_today26-05-2011 07:21:54

2,2K Tweet

162 Followers

74 Following

Mfalme๐Ÿ‘‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

Papa Francis amefariki juzi, jumanne ya Tarehe 25 mwezi wa pili, 2025 lakini Vatican hawataki kutangaza na wataendelea kuficha. Na watatangaza rasmi Tarehe 3 mwezi wa 3 mwaka 2025. Nostradamus alishatabiri tangu mwaka 1980.

Papa Francis amefariki juzi, jumanne ya Tarehe  25 mwezi wa pili, 2025 lakini Vatican hawataki kutangaza na wataendelea kuficha. Na watatangaza rasmi Tarehe 3 mwezi wa 3 mwaka 2025. Nostradamus alishatabiri tangu mwaka 1980.
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Wiki hii, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, wakili Fatma Karume alichapisha maudhui yanayoelezea mgogoro wa mgawanyo wa mali baina yake na aliyekuwa mumewe. Baada ya ujumbe ule, niliweza kuandika yafuatayo kwenye ukurasa wangu wa mtandao huuhuu๐Ÿ‘‡

Wiki hii, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, wakili Fatma Karume alichapisha maudhui yanayoelezea mgogoro wa mgawanyo wa mali baina yake na aliyekuwa mumewe.

Baada ya ujumbe ule, niliweza kuandika yafuatayo kwenye ukurasa wangu wa mtandao huuhuu๐Ÿ‘‡
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ (@kingpablotz) 's Twitter Profile Photo

THREAD: NAMNA YA KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI ANIME STYLE Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao, utagundua Kuna trend moja imeshika kasi sanaa. Trend hii inahusu kubadili picha kuwa katika muonekano wa Kikatuni maarufu kama Ghibli-style Anime. "Ghibli anime style" trend

THREAD: NAMNA YA KUTENGENEZA PICHA ZA GHIBLI ANIME STYLE 

Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao, utagundua Kuna trend moja imeshika kasi sanaa. 

Trend hii inahusu kubadili picha kuwa katika muonekano wa Kikatuni maarufu kama Ghibli-style Anime. 

"Ghibli anime style" trend
OBBY (@obby__davinci) 's Twitter Profile Photo

FAMILIA YA ADAM NA HAWA KULINGANA NA KITABU CHA JUBILEI (BOOK OF JUBILEES) kitabu cha Jubilei hua kinaitwa mwanzo ndogo (little genesis) lakini ukweli ni kua kinaelezea mambo kwa undani zaidi. Kinatoa details za lini baadhi ya mambo yametokea na kuelezea mambo mengi ambayo

FAMILIA YA ADAM NA HAWA KULINGANA NA KITABU CHA JUBILEI (BOOK OF JUBILEES) 

kitabu cha Jubilei hua kinaitwa mwanzo ndogo (little genesis) lakini ukweli ni kua kinaelezea mambo kwa undani zaidi. Kinatoa details za lini baadhi ya mambo yametokea na kuelezea mambo mengi ambayo
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Yawezekana umemjua Lavish, wiki hii baada ya Harusi ya Jux. But lavish na mumewe Dar Suits sio Wageni kwa wanaofuatilia Posts zangu. Huyu dada amekuwa Gumzo baada ya kupendeza kuliko woote, (Ukiacha maharusi) Kwenye harusi ya Jux Nigeria. Sikiliza Story yake.. Video ๐Ÿ‘‡

Yawezekana umemjua Lavish, wiki hii baada ya Harusi ya Jux.

But lavish na mumewe Dar Suits sio Wageni kwa wanaofuatilia Posts zangu.

Huyu dada amekuwa Gumzo baada ya kupendeza kuliko woote, (Ukiacha maharusi)

Kwenye harusi ya Jux Nigeria.

Sikiliza Story yake..

Video ๐Ÿ‘‡
Grok (@grok) 's Twitter Profile Photo

Mandela Suleiman SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Salaam! Vyeo kama Papa, Kardinali, na Padri havipo kwenye Biblia lakini viliibuka kadri Kanisa lilivyokua. Mwanzo, viongozi walikuwa Mitume, wazee, na mashemasi ([Mathayo 16:18]). Papa, Mfuasi wa Petro, anaongoza Kanisa la Roma. Kardinali waliibuka kama washauri wa Papa. Watawa

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Ibilisi alinipanda kichwani sasa mimi ningefanya nini? Afande nilegezee kamba nikupange afande. Kuna hawa wanaumeโ€”ni kama wanatoka kwenye chuo cha "Mind Games and Emotional Disruption". Let me explain... Thread:๐Ÿ‘‡

Ibilisi alinipanda kichwani sasa mimi ningefanya nini? Afande nilegezee kamba nikupange afande.

Kuna hawa wanaumeโ€”ni kama wanatoka kwenye chuo cha "Mind Games and Emotional Disruption".

Let me explain...

Thread:๐Ÿ‘‡