Tumeyamadini (@tumeyamadinitz) 's Twitter Profile
Tumeyamadini

@tumeyamadinitz

The Mining Commission was established under the Mining Act 2010 as amended by Written Laws (Miscellaneous Amendment) Act 2017.

ID: 1534156047757238272

linkhttp://www.tumemadini.go.tz calendar_today07-06-2022 12:52:27

394 Tweet

435 Followers

28 Following

Tumeyamadini (@tumeyamadinitz) 's Twitter Profile Photo

*Mining Commission Highlights Investment Prospects at Sabasaba Exhibition* *Dar es Salaam* The Mining Commission has been actively educating visitors at its pavilion during the Sabasaba exhibitions about the myriad opportunities available in Tanzania's mineral sector.

*Mining Commission Highlights Investment Prospects at Sabasaba Exhibition* 

 *Dar es Salaam* 

The Mining Commission has been actively educating visitors at its pavilion during the Sabasaba exhibitions about the myriad opportunities available in Tanzania's mineral sector.
Tumeyamadini (@tumeyamadinitz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ametoa zuio kwa raia wote wa kigeni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo (*PML*)bila kufuata taratibu zilizoelezwa kwenye Kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini Sura ya 123.

Nimefurahi kukujua leo maana nilikuwa nakusikia tu hongera kwa kuwa Katibu Mkuu. Waziri yuko pale najua mtakwenda kufanya vizuri, nimekutoa Tume ya Madini maana niliambiwa umefanya kazi nzuri sana, kwa hiyo nafasi yako ya Katibu Mkuu unaijua Tume vizuri najua utaisimamia vizuri.

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba wameongoza watumishi wa Tume ya Madini kwenye Bonanza la Michezo lililofanyika katika Viwanja vya Kilimani jijini Dodoma.

The Mining Commission, in collaboration with other institutions under the Ministry of Minerals, has showcased the success stories of Tanzania’s mineral sector and highlighted numerous investment opportunities at the Sabasaba exhibitions held today at Mwalimu Nyerere Grounds

TUME ya madini ipo kwenye mchakato wa kuboresha vifungashio vya madini katika masoko ya madini nchi nzima ikiwa ni mkakati wa kuendelea kudhibiti utoroshaji wa madini.

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini, Tume ya Madini imepata mwarobaini wa kupunguza majanga kwenye migodi kwa kuwaelimisha wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo.

WAZIRI wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameweka wazi makusanyo ya maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo ni Shilingi Bilioni 753 huku akipiga marufuku kwa wageni kuingia kwenye leseni za wachimbaji wadogo.

_Wadau wakoshwa na huduma za kampuni ya Kidee Mining (T) Limited_ Tume ya Madini leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma

_Wadau wakoshwa na huduma za kampuni ya Kidee Mining (T) Limited_
Tume ya Madini leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma
Tumeyamadini (@tumeyamadinitz) 's Twitter Profile Photo

Mjiolojia kutoka Tume ya Madini, Patrick Machumu ametoa elimu hiyo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chibelele iliyopo Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, kwenye Maonesho ya Nane Nane ambapo amesema, Madini aina ya Anyolite yanatokana na neno la Kimasai lenye maana ya Kijani.

Leo Agosti 08, 2024 Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Eng. Ramadhani Lwamo ametembelea Banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma

*KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA ZOEZI LA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YASIYOKIDHI VIGEZO* ● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 na kuondolewa kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini

*KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA ZOEZI LA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YASIYOKIDHI VIGEZO*
● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 na kuondolewa kutokana na kutokidhi  vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini
Tumeyamadini (@tumeyamadinitz) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa amesema Serikali imelitambua deni la Shilingi Bilioni 1.52 lililotokana na mapunjo ya mafao kutoka kwa waliokuwa wafanyakazi na madeni ya Wazabuni wa Mgodi wa Kiwira Coal Mine kabla ya ubinafsishaji.

Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania.

Waziri Mavunde amepongeza RMO’s kwa kuvunja rekodi ya kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 196 kwa kipindi cha miezi miwili katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025 kiasi ambacho ni zaidi ya shilingi bilioni 161 kilichokusanywa kwa mwaka mzima wa fedha 2015/2016.

TUME YA MADINI YAPATA MKURUGENZI MPYA WA HUDUMA ZA TUME* Leo Septemba 19, 2024 aliyekuwa Mkurugenzi wa Huduma za Tume, CPA. William Mtinya amekabidhi Ofisi kwa Nsajigwa Kabigi aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara ya Afya.

TUME YA MADINI YAPATA MKURUGENZI MPYA WA HUDUMA ZA TUME*

Leo Septemba 19, 2024 aliyekuwa Mkurugenzi wa Huduma za Tume, CPA. William Mtinya amekabidhi Ofisi kwa Nsajigwa Kabigi aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Wizara ya Afya.