Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile
Tukupala Mwalyolo

@tukupalamwalyo1

DroneEnthusiast ✈️ || Founder & CEO :Tukutech Co Ltd Founder:Youth&Drone Community🚀

ID: 1480226485084594189

calendar_today09-01-2022 17:14:44

576 Tweet

1,1K Followers

616 Following

Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Can more food be produced (to meet future needs and sustain growth) and can it be produced sustainably? #MechanizedAgriculture #DroneTechnology #Efficiency #Precision FoodSecurity Tukutech Company Limited

Geological Survey of Tanzania (@geologicalt) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania(GST) imepokea taarifa ya Utafiti wa Madini ya Dhahabu unaofanywa na Kampuni ya Barrick ikiwa ni utaratibu kwa Serikali kupokea taarifa za maendeleo ya utafiti kutoka kwa kampuni za uchimbaji madini nchini kila baada ya Robo Mwaka

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania(GST) imepokea taarifa ya Utafiti wa Madini ya Dhahabu unaofanywa na Kampuni ya Barrick ikiwa ni utaratibu kwa Serikali kupokea taarifa za maendeleo ya utafiti kutoka kwa kampuni za uchimbaji madini nchini kila baada ya Robo Mwaka
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Another season to explore earth✈️ #HighResolutionAirborneGeophysucalSurvey✈️ #MineralExploration #Vision2030 #MadiniNiMaishaNaUtajiri

Another season to explore earth✈️

#HighResolutionAirborneGeophysucalSurvey✈️
#MineralExploration
#Vision2030 #MadiniNiMaishaNaUtajiri
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Magnetic surveys are essential for identifying variations in the Earth's magnetic field, helping us locate valuable mineral deposits& geological structures in the bedrock. By measuring variations, we can focus exploration efforts to promising areas without even breaking ground🌍

Join us at Nane Nane Exhibition 2024! Tukutech Company Limited invites you to explore the world of drone technology in agriculture! Come visit our booth and learn how drones are transforming crop spraying, making farming more efficient & sustainable. 🌾 #MorogoroRegion #SugarBoardOfTz

Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi #NaneNane2024 #AgriculturalDrones #InnovationInFarming

Geological Survey of Tanzania (@geologicalt) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imebanisha Fursa za Uwekezaji zilizopo katika Sekta ya Madini Kanda ya Kati inayojumuisha Mikoa ya Dodoma na Singida ambayo wananchi wanaweza kufaidika nayo.

Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imebanisha Fursa za Uwekezaji zilizopo katika Sekta ya Madini Kanda ya Kati inayojumuisha Mikoa ya Dodoma na Singida ambayo wananchi wanaweza kufaidika nayo.
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Jana nilipata fursa ya kuhudhuria Kilimo Round Table Africa, ambapo nilijifunza kuhusu fursa za kilimo nchini na Afrika kwa ujumla.Kupitia mazungumzo na wadau kutoka maeneo mbalimbali,nimejifunza jinsi sekta ya kilimo ilivyo na mchango mkubwa katika uchumi wa Tanzania na Afrika

Tunaposherehekea sikukuu ya wakulima Tukutech Company Limited inajivunia kuendelea kutoa huduma za upuliziaji viuatilifu kwa kutumia ndege nyuki katika kusaidia wakulima kufikia mazao bora na mavuno mazuri. Kwa heshima ya wakulima wetu wote, tunawatakia mazao bora na mavuno yenye mafanikio.

Tunaposherehekea sikukuu ya wakulima <a href="/Tukutech_/">Tukutech Company Limited</a> inajivunia kuendelea kutoa huduma za upuliziaji viuatilifu  kwa kutumia ndege nyuki katika kusaidia wakulima kufikia mazao bora na mavuno mazuri.

Kwa heshima ya wakulima wetu wote, tunawatakia mazao bora na mavuno yenye mafanikio.
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Today I had a great opportunity to participate in the 9th Tanzania Women Engineers Convention and Exhibitions (TAWECE), where I showcased how Tukutech Company Limited uses drone technology to positively impact the mining and agriculture sectors in Tanzania #Day01 #DroneTech #Engineering

Today I had a great opportunity to participate in the 9th Tanzania Women Engineers Convention and Exhibitions (TAWECE), where I showcased how <a href="/Tukutech_/">Tukutech Company Limited</a>  uses drone technology to positively impact the mining and agriculture sectors in Tanzania #Day01  #DroneTech #Engineering
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Precise, efficient, and cost-effective pesticide application on sugarcane farms in Manyara, Tanzania. Tukutech Company Limited is revolutionizing Agriculture sector with smartest drone technology towards sustainable future. #TanzaniaAgriculture #DroneTechnology #FoodSecurity