Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile
Tukupala Mwalyolo

@tukupalamwalyo1

DroneEnthusiast ✈️ || Founder & CEO :Tukutech Co Ltd Founder:Youth&Drone Community🚀

ID: 1480226485084594189

calendar_today09-01-2022 17:14:44

630 Tweet

1,1K Followers

629 Following

Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Honored to join a special reception by Finnish Ambassador Theresa Zitting during the State Visit of H.E. Dr. Alexander Stubb, President of Finland. Grateful for the warm hospitality. Here's to stronger 🇫🇮🇹🇿 ties in innovation, tech & youth empowerment! #FinlandTanzania

Honored to join a special reception by Finnish Ambassador Theresa Zitting during the State Visit of H.E. Dr. Alexander Stubb, President of Finland. 

Grateful for the warm hospitality. Here's to stronger 🇫🇮🇹🇿 ties in innovation, tech & youth empowerment! #FinlandTanzania
Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

Mzee Juma ni mkulima wa mahindi kutoka Morogoro na alitueleza,"kwa miaka mingi nimekuwa nikipulizia dawa kwa mikono,mazao hayakustawi na nilipata madhara ya kiafya kutokana na kemikali kugusana na ngozi yangu".Alisema mzee Juma kwa huzuni.

Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

"Kila msimu nilikuwa napoteza zaidi ya nusu ya shamba kutokana na wadudu. Nilikuwa karibu kukata tamaa," anasema Mzee Juma kwa huzuni huku akitarajia matumaini na msaada kutoka kwetu. Muda na pesa zake vilikuwa vikipotea. Kiliohiki ni cha wakulima wengi Tanzania.

"Kila msimu nilikuwa napoteza zaidi ya nusu ya shamba kutokana na wadudu. Nilikuwa karibu kukata tamaa," anasema Mzee Juma kwa huzuni huku akitarajia matumaini na msaada kutoka kwetu. Muda na pesa zake vilikuwa vikipotea. Kiliohiki ni cha wakulima wengi Tanzania.
Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

Ndipo tukapata nafasi ya kumtembelea mzee juma na kumweleza namna tukutech company tunavyoweza kuwa mkombozi kwake. Tukutech tunatumia teknolojia ya ndege nyuki (drone za dji Agras T40 kunyunyizia dawa na mbolea kwa haraka, ufanisi na usalama zaidi.

Ndipo tukapata nafasi ya kumtembelea mzee juma na kumweleza namna tukutech company tunavyoweza kuwa mkombozi kwake.

Tukutech tunatumia teknolojia ya ndege nyuki (drone za dji Agras T40 kunyunyizia dawa na mbolea kwa haraka, ufanisi na usalama zaidi.
Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

Teknilojia yetu ya ndege nyuki inanyunyizia hadi ekari 250 ndani ya siku moja tuu,ikiwa ni mabadiliko makubwa kuwahi kutokea katika sekta ya kilimo nchini. Usambazaji sawa wa dawa kwa mimea, Inapunguza matumizi ya maji na dawa Inafika sehemu zote hata yenye milima au mabonde

Teknilojia yetu ya ndege nyuki inanyunyizia hadi ekari 250 ndani ya siku moja tuu,ikiwa ni mabadiliko makubwa kuwahi kutokea katika sekta ya kilimo nchini.
Usambazaji sawa wa dawa kwa mimea,
Inapunguza matumizi ya maji na dawa
Inafika sehemu zote hata yenye milima au mabonde
Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

Tukutech, tunaamini mkulima anastahili heshima, ufanisi, afya njema,gharama nafuu za uzalishaji pamoja na tija. Tupo kwa ajili ya kuwasaidia wale wanaolisha taifa letu kwa teknolojia inayoleta matokeo makubwa zaidi. Tukue zaidi, tupoteze kidogo, turuke juu pamoja! #Tukutech

Tukutech, tunaamini mkulima anastahili heshima, ufanisi, afya njema,gharama nafuu za uzalishaji pamoja na tija.
Tupo kwa ajili ya kuwasaidia wale wanaolisha taifa letu kwa teknolojia inayoleta matokeo makubwa zaidi.

Tukue zaidi, tupoteze kidogo, turuke juu pamoja!
 #Tukutech
Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

Usalama kwa mkulima: Unyunyiziaji hufanywa kwa mbali, hivyo mkulima hawasiliani moja kwa moja na kemikali. Ufanisi wa hali ya juu: Teknolojia hii hupunguza upotevu wa dawa na huongeza matokeo bora ya mazao.

Usalama kwa mkulima: Unyunyiziaji hufanywa kwa mbali, hivyo mkulima hawasiliani moja kwa moja na kemikali.
Ufanisi wa hali ya juu: Teknolojia hii hupunguza upotevu wa dawa na huongeza matokeo bora ya mazao.
Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

Kilimo bora kinaanza na teknolojia sahihi. Usiruhusu magonjwa yadhibiti mavuno yako, tumia suluhisho la kisasa la kunyunyizia dawa kwa kutumia drone ya DJI T40 kutoka Tuku Tech. Tunakuahidi huduma ya haraka, salama na yenye matokeo ya chanya.

Kilimo bora kinaanza na teknolojia sahihi.
Usiruhusu magonjwa yadhibiti mavuno yako, tumia suluhisho la kisasa la kunyunyizia dawa kwa kutumia drone ya DJI T40 kutoka Tuku Tech.

Tunakuahidi huduma ya haraka, salama na yenye matokeo ya chanya.
Tukutech Company Limited (@tukutech_) 's Twitter Profile Photo

Our CEO Tukupala Mwalyolo proudly represented TukuTech at #NordicWeek2025 🇫🇮 in Dar es Salaam! She shared how drone technology is transforming agriculture and mining in Tanzania. Special thanks to the Embassy of Finland for hosting this innovation-focused event

Our CEO Tukupala Mwalyolo proudly represented TukuTech at #NordicWeek2025 🇫🇮 in Dar es Salaam! She shared how drone technology is transforming agriculture and mining in Tanzania.
Special thanks to the Embassy of Finland for hosting this innovation-focused event
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Excited to represent Tukutech Company Limited as one of the selected startups for the Timbuktoo Minetech program by UNDP Zambia! Ready to explore Africa's mining ecosystem, gain market insights, and expand our services across the continent. #DroneTechnology #MineralExploration #LusakaZambia

Excited to represent <a href="/Tukutech_/">Tukutech Company Limited</a> as one of the selected startups for the Timbuktoo Minetech program by UNDP Zambia! Ready to explore Africa's mining ecosystem, gain market insights, and expand our services across the continent. #DroneTechnology 
#MineralExploration
#LusakaZambia
UNDP Zambia (@undpzambia) 's Twitter Profile Photo

✨ 10 brilliant startups ✨ 10 days of hustle ✨ 1 mission The 1st Cohort of the timbuktooAfrica #MineTech cohort is gearing up to take the stage and lead Africa’s future in mining innovation. 💼🌍 Stay tuned! #MiningForTomorrow

✨ 10 brilliant startups
✨ 10 days of hustle
✨ 1 mission

The 1st Cohort of the <a href="/timbuktooafrica/">timbuktooAfrica</a> #MineTech cohort is gearing up to take the stage and lead Africa’s future in mining innovation. 💼🌍

Stay tuned! #MiningForTomorrow
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

Through the Timbukto Minetech Program, we’re building a solid foundation to solve real challenges in Africa’s mining sector and scale impactful solutions across the continent. #MinetechHub #Bongohive #Day2

Through the Timbukto Minetech Program, we’re building a solid foundation to solve real challenges in Africa’s mining sector and scale impactful solutions across the continent.  #MinetechHub #Bongohive #Day2
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

#FinalDay Wrapping up an intense and transformative 10-day journey with fellow #AfricanInnovators through the #TimbuktooMinetechProgram led by #UNDPZambia. Grateful for the opportunity to refine our solution and grow alongside visionary minds. Huge thanks to UNDP Zambia

#FinalDay Wrapping up an intense and transformative 10-day journey with fellow #AfricanInnovators through the #TimbuktooMinetechProgram led by #UNDPZambia.
Grateful for the opportunity to refine our solution and grow alongside visionary minds.
Huge thanks to <a href="/UNDPZambia/">UNDP Zambia</a>
Tukupala Mwalyolo (@tukupalamwalyo1) 's Twitter Profile Photo

It was a great to meet fellow innovators from across Africa during this bootcamp — each bringing unique solutions to shape the future of mining. #TimbuktooMinetech #UNDPZambia #AfricanInnovation #MiningReimagined UNDP Zambia

It was a great to meet  fellow innovators from across Africa during this bootcamp — each bringing unique solutions to shape the future of mining.
#TimbuktooMinetech #UNDPZambia #AfricanInnovation #MiningReimagined
<a href="/UNDPZambia/">UNDP Zambia</a>