The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profileg
The Chanzo

@TheChanzo

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

ID:1298181821134446594

linkhttp://www.thechanzo.com calendar_today25-08-2020 08:56:33

7,3K Tweets

63,5K Followers

159 Following

The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Mgogoro wa ardhi kati ya wananchi Kigamboni na Jeshi, RC Chalamila ataka yasubiriwe maamuzi ya mahakama.

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Ni Muda Makocha Wazawa Tanzania Waanze Kufanya Kazi Kisasa

Na Angetile Osiah

Kuna kilio kinaendelea cha kutaka kocha wa muda wa Simba, Juma Mgunda, apewe mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa sababu ameonyesha mafanikio tangu alipoichukua timu baada ya Mualgeria, Adel Benchikha,

Ni Muda Makocha Wazawa Tanzania Waanze Kufanya Kazi Kisasa Na Angetile Osiah Kuna kilio kinaendelea cha kutaka kocha wa muda wa Simba, Juma Mgunda, apewe mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa sababu ameonyesha mafanikio tangu alipoichukua timu baada ya Mualgeria, Adel Benchikha,
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Winner of the Africa African Youth in Artificial Intelligence and Robotics Competition to Receive USD 100,000. Tanzania to host the awarding ceremony.

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Kwa Mwaka 2024/25

Bunge la Tanzania siku ya Mei 7, 2024 lilijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2024/25 ambapo jumla ya shilingi trilioni 1.97 zimepanga kutumika na Wizara

Uchambuzi wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Kwa Mwaka 2024/25 Bunge la Tanzania siku ya Mei 7, 2024 lilijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2024/25 ambapo jumla ya shilingi trilioni 1.97 zimepanga kutumika na Wizara
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Kwa Mwaka 2024/25

thechanzo.com/2024/05/17/uch…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

'The departure of SADC forces from Mozambique is likely to ease pressure on the Al Sunna Wal Jammah (ASWJ) terrorist group and expose Tanzania to increased cross-border security risks.' writes Dastan Kweka

thechanzo.com/2024/05/16/tan…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Dr. Dorothy Gwajima: Tanzania Minister Setting an Example of How Government Can Use Digital Platforms to be Close to Citizens

By Jackline Kuwanda

There is nothing that goes unanswered. Whenever citizens tag her online or she notices something related to her Ministry, there is

Dr. Dorothy Gwajima: Tanzania Minister Setting an Example of How Government Can Use Digital Platforms to be Close to Citizens By Jackline Kuwanda There is nothing that goes unanswered. Whenever citizens tag her online or she notices something related to her Ministry, there is
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

Hizi hapa halmashauri za wilaya 20 zilizoongoza kwa kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka 2022/23 kati ya halmashauri za wilaya 137 zilizopo nchini.

Binadamu na Maendeleo ni kitabu kinachobeba hotuba 11 alizohotubia Julius Nyerere kati ya mwaka 1968 na 1973 akiwa Rais wa kwanza wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
thechanzo.com/2024/05/15/bin…

account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

'ACT-Wazalendo continued to promote its centre-left ideology for a few years, and some of us wondered what this centre-left and centre-right ideology actually meant. Soon enough, the centre could no longer hold; nothing of the left was left. Once again, ACT-Wazlendo proved that