TechNaSisi Foundation
@technasisi
TechNaSisi Foundation has been registered under Non Governmental Act, 2002 with Reg No. 00NGO/R/4761 | Tech Innovators | #TechNaSisi | Innovation Starts Here
ID: 1674699765475319809
http://www.technasisi.or.tz 30-06-2023 08:42:32
63 Tweet
256 TakipΓ§i
12 Takip Edilen
Kwa dunia ya leo, ni kitu kizuri sana kwa watoto kuanza kujifunza computer, swali kubwa ni umri sahihi. Leo Jumapili saa 2: 30 USIKU tutakuwa na Space kushirikiana na taasisi ya TechNaSisi Foundation tukiongelea zaidi hili. Hii si ya kukosa π
Tupo nyakati ambazo AI (Artificial intelligence) imekuwa na ushawishi mkubwa sana Jiunge nasi leo usiku kuanzai saa 20: 30 usiku tujadili Fursa na madhara ya uwepo wa AI Tutakuwa na panel ya wataalamu Fred Ma πΆπ°π±π π»πΎπ π΄π ππ΄π²π· 7.o SmartMind J Na wengine wengi, Karibu