Ngellah (@tcha08572764) 's Twitter Profile
Ngellah

@tcha08572764

ID: 1297857980654813186

calendar_today24-08-2020 11:27:35

151 Tweet

24 Followers

341 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 7 Jaji anasema sisi tukizonazo kama Majaji zinaonesha colum ya kwanza tar. 10/04/2025. Na anasoma waliokuwepo siku hiyo. Upande wa utetezi pia anawasoma waliokuwepo. Jaji anasema au tukupe kwanza ili uendeleee. ? LISSU anakubali. Wameenda

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 5 Mhe. Lissu anamuuliza Katuganga nani anaevunja amri ya mahakama kati ya Wakili Mkuu wa Serikali na team yake yote ambao wamewaweka wazi wote. Kile walichoambiwa na Mahakama Kuu wasikifanye ndo wamekifanya, mwenye kosa ni nani hapo mimi au wao?