Khamis_D🇹🇿 (@tangabwoy) 's Twitter Profile
Khamis_D🇹🇿

@tangabwoy

kila jambo anasimamia mungu pekee🙏
Chelsea_fan simbascTz #sungusungu_HQ

ID: 1569712166537949186

calendar_today13-09-2022 15:39:03

21,21K Tweet

9,9K Takipçi

8,8K Takip Edilen

silhouette💃🌷 (@a_iylarr) 's Twitter Profile Photo

I have made peace with the fact that I will support NRNE, ila in reality I know they will tiki and choose mama yao. Ila my peace lies in the fact that sitoshiriki kumuweka madarakani. I will live to tell my kids, “Sikuwahi kumchagua,” and my conscience will be very clear.

Timber TZA (@timbertzaa) 's Twitter Profile Photo

Hapa mkoani Mara kama michongo haijatiki unapita mji wowote ukifika tu unapikiwa chakula, kwani desturi zao haziruhusu mgeni kuondoka bila kula chochote kama umeshiba unachumiwa embe, kama hutumii unaletewa hata Togwa

Eddo Lalika (@eddolalika) 's Twitter Profile Photo

Kuweni myaone wajomba, huku pwani kuna wadada Wana majini ya kiume, mjomba ukikutana nae huyo mdada mashine Yako kusimama uwaga ni kipengele sana. 😊

Kuweni myaone wajomba, huku pwani kuna wadada Wana majini ya kiume, mjomba ukikutana nae huyo mdada mashine Yako kusimama uwaga ni kipengele sana. 😊
M.a.n.a.n.a 🗽 (@mananajr_) 's Twitter Profile Photo

Ukipanga kwenda kufanya kazi yoyote mkoa wa Mara sahau kabisa kuhusu ustaarabu na kubembelezana ukiwa kwenye mishe zako, wewe fanya kwa ubabe maana ndio lugha wanayoelewa.

Barbosa (@gratian_barbosa) 's Twitter Profile Photo

Bila kumkosea heshima Jurgen Klopp ila hii timu aliyorithi Arne Slot ni timu ilikua imemshinda Klopp na ilihitaji marekebisho makubwa ili ije ikompete tena, Slot amerithi hiyo timu bila addition yoyote ya maana na akabeba kombe la PL kwenye debut season. Heshima iwepo wazee.🙌🏻

👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼 (@denythedr) 's Twitter Profile Photo

CHAPA REPOST FAMILJA🔥🎉 Ligi zimerudi njoo tuboom✅👇 Mkeka odds 2+ || Code ZPJ4M Stake 150K Jisajili MELBET hapa,⚠️hakikisha umezima VPN Website mlbt.cc/3Gy12Sd application mlbt.cc/4ktyyqu promo code Cuty Njoo whatsap group👇 chat.whatsapp.com/FFQGFgNGWaCCSQ…

CHAPA REPOST FAMILJA🔥🎉

Ligi zimerudi njoo tuboom✅👇

Mkeka odds 2+ || Code ZPJ4M
Stake 150K

Jisajili MELBET hapa,⚠️hakikisha umezima VPN

Website 
mlbt.cc/3Gy12Sd

application
mlbt.cc/4ktyyqu

promo code  Cuty

Njoo whatsap group👇

chat.whatsapp.com/FFQGFgNGWaCCSQ…
Masterplan🇹🇿 (@master_plan7) 's Twitter Profile Photo

Mshkaji Wangu Alipataga Post ya Moja Kwa Moja Kwenda POLISI Hakuenda Akaenda Somea Education saizi Tupo Wote Tunapiga Bodaboda Nikimkumbushaga iyo Story Anaanza Kulia.🤣