Taji George Liundi (@tajiliundi) 's Twitter Profile
Taji George Liundi

@tajiliundi

Loving Life, Living this Life...

ID: 49642907

linkhttp://modotz.blogspot.com calendar_today22-06-2009 14:25:34

920 Tweet

7,7K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Taji George Liundi (@tajiliundi) 's Twitter Profile Photo

Hili la kuwa International NAWAAMBIA lakini MNANIPINGA. Hamtaki. Kasimama sasa na Wiz Kid. Zingatia; Jan 10 GOLD. Jan 26 Platinum!!! 🤯 2 years kufika 8x Platinum. KAZI aliyoifanya hapo kati ndo indefine msanii wa Kimataifa!!! TUJIFUNZE!! instagram.com/p/C5O4K8UL5Mz/…

Taji George Liundi (@tajiliundi) 's Twitter Profile Photo

Hivi mamlaka husika wa barabara wamepita maeneo mbalimbali kutathmini uharibifu wa barabara, madaraja, mitaro nk ILI TUKIAMKA ASB VITUO VYA REDIO VITUHADHARISHE JUU YA MAENEO KOROFI AU TATA? TUNA UFANISI HUO? AU NDO IMETOKA??

Taji George Liundi (@tajiliundi) 's Twitter Profile Photo

Siku hizi mazungumzo ni mengi mno club! Dj anaimba na ngoma. Shout outs. Ushauri wa maisha. Kuhimizana kulewa. Ruksa kupanda juu ya meza. Umalaya ni nini na malaya haswa ni nani!! Ila point kuu ni vijana mnalewa kimbwa!! Mabinti wakavuuu wanasepa na maVulture!!!

Taji George Liundi (@tajiliundi) 's Twitter Profile Photo

Ok. Mmekuja na date kujipongeza na bonus ya Mei Mosi. Hapa muziki uko juuuuuuu!! Mnakula kimya. Mnakunywa kama mnafosiwa. Unaagiza unashout. Ukimwambia kitu mnashautiana!! Yaani mnaondoka hata hamjaambiana kitu cha maana!! Kwanini Lounge zetu zina KELELE sana??

Taji George Liundi (@tajiliundi) 's Twitter Profile Photo

Nitaonekana zwazwa haswa. Sawa. Ila mi ninachokiona ni kwamba waTz 'tunalizika' na mapambano yetu. Kisha baada ya kazi tunataka kujipooza koo, mwili na haswa akili. Hizi siasa sijui upinzani zinaweza kaa kando kabisaaaaaaaa… "WanaSerikali" wao walete maji safi, madawa, barabara